Ujinga sasa basi: Kinana tuoneeni huruma watanzania

Lazima tule nao sahani moja. Hata Makaburu huko SA walijifanya nchi yao ila leo hii Wanaume wameonekana..... Kuna siku tutawachinja kama alivyofanya Okello huko Zanzibar. Acha wazidi kututia hasira.

Kwa sasa naishi Haile-slaisie road nimepanga tu, mwanzaoni kabisa mwa peninsula la Masawani, wewe kaishi Mabwepande Mie nakwambiaje Masasani HII hii Lazima Nijenge, Lazima Niishi hapa, Peninsula lote hili hatuwezi kuwaachia mbweha wajinafasi Kwa dhambi gani niliyo nayo..

Lazima Nijenge HAPA.. FULL STOP..
 
Mwaka 2009 Kikwete alitangazia umma kuwa Sheria ya kutenganisha biashara na siasa iko kwenye hatua za mwisho kukamilika. Jambo la kushangaza miaka mitatu baadaye Kikwete huyo huyo amekuwa akiendelea kuwakumbatia wafanyabiashara wakubwa na kuendelea kuwapa nafasi za juu za uongozi hata wale ambao waliamua wenyewe kuachana na siasa mfano KINANA.
 
Sasa huu ndiyo UJINGA wenyewe. Ni sawa na mtu kumuomba SHETANI amuonee HURUMA asitende tena dhambi. Kama ingekuwa hivyo basi kila mtu angeenda MBINGUNI.

Kumuomba Kinana akuonee huruma is wicked, you're barking a wrong tree dude. Take action.
 
Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na watanzania tupo Na nchi ipo??!!? Tumekuwa zombie kiasi gani jamani..

Nchi HII ni Mali yetu sote jamani, Sio Kwamba nakuonea gere Kinana no!, Nchi sisi sote tuna haki nayo Hakuna mwenye hati Miliki Na Nchi hii..Lazima iwe Na Moyo wa Ubinaadamu Hata kidogo jamani, kila kitu umiliki wewe tu HE!! Mbona mlafi hivyo?

Msasani yoote Imejaa Majumba yako, mbali Na Jumba lako kubwa sana karibu Na CHUO Cha Tanesco mahando st lakini Bado Mwaya street imejaa majumba yako, mengine umepangisha makampuni , hivi Kwani nyumba moja haitoshi Kama kiongozi nyingine Na sisi tukajipatia???, bado una viwanja huko huko Msasani Hata hujavijenga hivi sisi turithi Nini mbona mnatuonea hivyo.

Sisemi Kwa Ubaya lakini Kwani kuchelewa kuzaliwa ndio zambi kubwa yetu kiasi tukose pahala pa kuishi?

Basi ni Heri Hata ungewapatia wanao wakae Kwenye majumba hayo lakini wapi, wanao watatu Samira, Hamza Na Yasin wote umeshawatoroshea Kanada, umeshawajengea huko wanakula bata Mwanzo-Mwisho, bado hatujaongelea Majumba yako huko Arusha anapokaa Yule Kaka yako uliyempiga uchizi, hapo Bado hatujaongelea Bandari yako ya Kuuza magari Temeke, Hapo Bado hatujaongelea Kampuni yako ya kufua nguo zote Za mahoteli makubwa FALCON, hapo bado hatujaongelea umiliki wako makumi ya makampuni hapa Tanzainia Na Meli zake, Hatupingi Mtu kuwa Bilionea this way lakini Kwa kiongozi wa Chama ni mfano gani tunapata..??!!

Hata Kama ukikasirika kuweka mambo yako nje mbona hapa sijaanika ndo naanza, kiongozi lazima uwe mwadilifu Na Mtu asiye Na Uchu Wa Mali this way..

Sasa watanzania tunasimamia rasilimali zetu, Na najua mimi Na wewe ni marafiki Wa Muda mrefu sana ila Mwenzangu dhambi sasa Basi umezidisha mno.. Achia Mali Za watanzania, usipokubali kusalimu amri Mbele ya Watanzania Basi ntakwenda press Conference Na Kutangaza karatasi Kwa Karatazi Ufirauni wako Woote. Kisha freely ntakuruhusu unifanye unachotaka kunifanya, si mmezoea kuua?!?Mie sio Kama Regnald Mengi, unamtisha kidogo anatetemeka, Nunua magazeti yote , Chimba biti Wahariri wakuu Wa magazeti yoote wasiandike habari zako lakini jua Mwisho umesika, Hutaweza, siku hizi kuna so many media to report madudu yenu..

Tuweni wazalendo jamani.. Tuweni wazalendo .. Mungu lazima aibarikia Ardhi yetu..

umesahau ni huyu huyu kinana nyumba yake ya kwanza aliposhinda ubunge arusha mjini .alikwapua kiwanja mlima shabaha .akachimba mlima kujenga bila utalaamu na bila kujali uaribifuu wa mazingira mvua zikaja akasababisha mmomonyoko wa ardhi .ukaharibu uzalishaji kwenye viwanda vya alfi limited ,tanzania food na kiwanda cha kiko ,arusha ilikuwa scandol kubwa tuu .ikazimwa kichama chama ccm ccm .shame on you kinana .ndio maana alihama ar .
 
duh AMA WEWE KWELI FIDHULI, MNAFIKI, NA UNANUKA VUNDO LA WAONGO, YOTE ULIYAYESEMA HAPA NI PROPAGANDER YA KUTAKA KUMHARIBIA JINA, NDUGU KINANA, HUTAMWEZA HATA KIDOGO. THIS MAN HAS THE BLESSINGS OF MANY TANZANIANS AND HIS PARENTS, NA HATA ZA MAREHEMU BABA WA TAIFA.

NA SI FISADI WALA HANA ASILI HIYO HATA SIKU MOJA, HAYO MAJUMBA UNAYO YASEMA NI NDOTO ZAKO ZA MCHANA. UTAENDELEA KUOTA, NAONA WEWE NI ASKARI WA KUKODISHWA, BUT A VERY POOR ONE WITHOUT ANY DISCIPLINE, WALIOKUKODISHA WAMEKULA HASARA. NA INJAVYOELEKEA WEWE ULIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA KINANA, KWANI YAELEKEA KAMA UNAWAJUA FAMILIA YAKE, HEBU UCHUNGUZWE PENGINE ALIKATAA KUKUFANYIA FAVOR NDIO MAANA UNA TAKA KUMSEMA, JAMAAAAAAAAANI HAMUMWEZI KINANA HE IS ABOVE YOU GUYS N BETTER MAN TOO.


Ni wewe mwenyewe nini?
 
Si ndiyo maana aliteuliwa kuwa Kampeni Meneja wa Mkulu!!! Kwani Mkulu alivyosema "UKIJUWA KULA UJUE LAZIMA KUNA KULIWA" alimaanisha nini?. watu wanaliwa ndiyo maana nao wanakula nchi mwaya!!!!!Ndiyo maana tuna hsauri CHADEMA iwe na kitengo cha KUMBUKUMBU. Maana hawa wote lazima warudishe mali zetu walizo tuibia wakati wa uongozi wao.
ccm si chama cha wakulima na wafanyakazi ni chama cha majambazi wakiongozwa na cheamen na katibu wake. Ni wakati wa kubadilisha alama za bendera ya chama. Kibaya zaidi katibu ni foreigner wa kule kismayu
 
umesahau ni huyu huyu kinana nyumba yake ya kwanza aliposhinda ubunge arusha mjini .alikwapua kiwanja mlima shabaha .akachimba mlima kujenga bila utalaamu na bila kujali uaribifuu wa mazingira mvua zikaja akasababisha mmomonyoko wa ardhi .ukaharibu uzalishaji kwenye viwanda vya alfi limited ,tanzania food na kiwanda cha kiko ,arusha ilikuwa scandol kubwa tuu .ikazimwa kichama chama ccm ccm .shame on you kinana .ndio maana alihama ar .

Mzee Ben kipindi flan Kule Usoke(Tabora) akiwa kwenye kikao cha ndani alitamka waziwazi Msafi- mtu anayejiita msafi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa Chama, Hata kama wewe ni Msafi lazima tukuchafue kwanza ndipo Ustahili Uongozi. nakubaliana nae Waovu wote sasa ndio Viongozi wetu.. Aisee ni Uchungu kiasi gani Nchi yako Iviv-ivi inaliwa na wajanja wawili watatu, Bhudeko embu nitaftie kiinchi chochote nikakae huko ni afadhali ugenini wanakotafuna nchi yao kuliko nchini kwako kutumbulia macho nchi inavyotendwa mchana kweupee ivi-ivi, it really pain
 
nimekutana na magraduates kadhaa huku mtaani hawana ajira na kila wakijaribu kujiajiri vikwazo viko lukuki,wanaishia kuitwa interviews kila siku kumbe watoto wa mafisadi walishaandaliwa nafasi....iko siku nasema iko siku na siku yenyewe sio mbali.

mambo ya kusema sasa tumechoka, mimi ni graduate nimeomba kazi kama 400, nimefanya interview 30 sijawahi kuitwa hata moja. Saa hizi silalamiki tena ila natafuta nafasi ya kukamilisha mission yangu ya mwisho iliyobaki hapa duniani nayo ni kulipa kisasi kwa afisa yeyote wa ngazi za juu wa selikali au CCM ambao nina amini umasikini wangu umesababishwa na wao. Nilikuwa sijawahi kumfikiria Kinana kama anaweza kufaa kuwa candidate, kwa haya maelezo Kinana ni perfect candidate, potelea mbali hizo hela watakula ndugu zake ila mimi na kinana tutatangulia mbele ya haki.
 
Tamko, nimeambiwa nyingi ya hizi mali walimdhulumu mwarabu waliyemfukuza Loliondo miaka ya 90. Jamaa ni Jangili. Ana kamradi kake ka meno ya Tembo tangu miaka mingi sana.
 
nimekutana na magraduates kadhaa huku mtaani hawana ajira na kila wakijaribu kujiajiri vikwazo viko lukuki,wanaishia kuitwa interviews kila siku kumbe watoto wa mafisadi walishaandaliwa nafasi....iko siku nasema iko siku na siku yenyewe sio mbali.
This is realy true bro.inaniuma sn!!!!!
 
Back
Top Bottom