Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,907
Ndio maana nyingi zina AC kwenye ukanda wa joto,mkoani kiangazi wanaisoma nambaKero nyingne ya hizo nyumba hii
Ndio maana nyingi zina AC kwenye ukanda wa joto,mkoani kiangazi wanaisoma nambaKero nyingne ya hizo nyumba hii
Haiwezi kutokea hizi ndio hasaa nyumba za miaka na mikaka ila sasa zimerudi kwa mbwe mbwe mpya,ni nyumba zenye muonekano mzuri na zina ruhusu marembo kuliko traditional high pitched housesMimi nahisi hizi nyumba sio mda mrefu zitapitwa na wakati.
kama vitu gani? kwan wiring lazim ipite juu ? si hata chinTatizo mafundi wetu wezi sana, ukimuuliza bei ya hizi paa za kuficha gharama unakuta ni mara 2 ya paa za kawaida. Ila ukiangalia hizi paa za kuficha zinatumia bati na mbao kidogo sana kwan muundo wake ni slope. Pili hasara ni nyingi kwa hii design kwa sababu ina space ndogo kati ya bati na ceiling ya ndani hii inaweka ugumu wa service za umeme na vitu vingine vitavyohitaji upande darini.
Hii bitumen na membrane cloth inapatikana wapi mkuu??Bro umeongea yote;
Iko hivi: nyumba hii inahitaji myaalam ambaye anajua namna ya kuanza hadi kumaliza.
Wengi anampa fundi wa kujenga tofali then analeta mwingine wa kuezeka....
Hii nyumba inajengwa na mtaalam mmoja mwanzo hadi mwisho.
Chukua haya yafuatayo;
1. Msingi uinuke
2. Boma liwe na tofali laini 11
3. Baada ya lenta hakikisha unatengeneza sehemu ya kupokelea maji
4. Pawepo na ducts za kupitishia maji na sio bomba
5. Upake bitumen pamoja na mebrane cloth maeneo ya wazi ya kupokelea maji.
6. Epuka slop ndefu za paa bali livunje vunje vipande vipande ili maji yashukie sehemu tofauti
Ukizingatia haya nyumba hii hsivuji na utaifurahia na haina gharama kubwa
Mbona swali lako hili pia ni la kijinga! Kwani elimu ndo inajenga nyumba au ujuzi wa mtu! Hujifunzi kwa mainjia wale wa majengo wanavoharibu kazi na mavyeti yao!Hujajibu swali langu.Nimekuuliza una elimu ya kiwango gani katika masuala ya ujenzi wa nyumba.
Ndio upo kazini unapiga kazi?
Hapo sijaelewa maji yanatokaje nje🤔
Mimi mwenyewe nazipenda ila naogopaHizi nyumba zinavutia, nazipenda ila inaonekana zina changamoto nyingi sana....
Zina magumashi sana naona kina fundi maiko hawajazijulia vizuri, kuvuja ndio changamoto kubwa....Mimi mwenyewe nazipenda ila naogopa
Na mpaka umpate fund mzuri shughuli ipoZina magumashi sana naona kina fundi maiko hawajazijulia vizuri, kuvuja ndio changamoto kubwa....
Ila kwa muonekano tu zinavutia.
Ninachokijua mimi ni kwamba ujenzi wa nyumba ni professional kama zilivyo professional nyingine kama vile udaktari,urubani na kadhalika.Mbona swali lako hili pia ni la kijinga! Kwani elimu ndo inajenga nyumba au ujuzi wa mtu! Hujifunzi kwa mainjia wale wa majengo wanavoharibu kazi na mavyeti yao!
Umefafanua vizuri sana mkuu asante kwa angalizoUwe unawaambia pia kwamba zinahitaji kemikali maalumu kuunga paa na kuta zisivuje.
Pia uwaeleze kwamba kwa kuwa hazina roof overhang zinahitaji kupakwa rangi maalumu ambazo zitahimili jua na mvua/unyevu kwa kuwa kutazake zina direct contact na jua na mvua tofauti na traditional houses
La mwisho uwaeleze wateja wako kwamba hizo nyumba mara nyingi zinakuwa na extra costs Ili zipendeze yaani makuta kuta,maurembo mengi na finishing ya nguvu.Kiufupi gharama za ufundi ni kubwa zaidi kuliko nyumba za kawaida.
Mwisho wa siku unakuta ule unafuu wa gharama ya paa ume offset kwenye finishing tena ya nje ambapo on average zina gharama kubwa kuliko nyumba za kawaida.
All in all ni nyumba nzuri kama una pesa ila kama pesa ya kuunga bora ujenge traditional houses
Hicho ni kipaji kama vipaji vingine unaweza kuwa daktari kila siku ukawa unauwa watu tu..hata madaktari wanasomea professionalism lakini uwezo wamepishana why! Mkuu usitegemee sana vyeti.Ninachokijua mimi ni kwamba ujenzi wa nyumba ni professional kama zilivyo professional nyingine kama vile udaktari,urubani na kadhalika.
Sasa unavyodai kuwa kinachojenga nyumba siyo elimu bali ni ujuzi wa mtu,je ninaweza kumfanyia mtu operesheni ya moyo au operesheni ya ubongo bila elimu?Huo ujuzi wa kufanyia watu operesheni nitaupata wapi kama siyo kwenye elimu?