hidden roof

The hidden roof (野屋根, noyane) is a type of roof widely used in Japan both at Buddhist temples and Shinto shrines. It is composed of a true roof above and a second roof beneath, permitting an outer roof of steep pitch to have eaves of shallow pitch, jutting widely from the walls but without overhanging them. The second roof is visible only from under the eaves and is therefore called a "hidden roof" (giving its name to the whole structure) while the first roof is externally visible and is called an "exposed roof" in English and "cosmetic roof" (化粧屋根, keshōyane) in Japanese. Invented in Japan during the 10th century, its earliest extant example is Hōryū-ji's Daikō-dō, rebuilt after a fire in 990.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi? Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
  2. Half american

    Mnazipendea nini hidden roof house?

    Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha...
  3. S

    Ni Sahihi Kutumia Nondo za 10mm Kwenye Mifereji ya Paa la "Hidden Roof"?

    Kwema Wakuu? Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji. Katika "quotations" nilizopata kutoka kwa mafundi kama watatu hivi kuna mmoja ameniambia kua lile zege za mifereji ya...
  4. Kuwite94

    Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  5. Colgate3

    Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Habari waungwana na wadau wa ujenzi. Nawajaribisha tushirikiane kujadiliana aina hii ya ujenzi kwa wataalam na wadau wa ujenzi wa aina hii....karibuni 1.Je una changamoto katika ujenzi wa nyumba tajwa hapo juu? 2. Umejengewa nyumba ukakutana na changamoto ya kuvuja? 3. Wewe ni mjenzi na hujui...
  6. Nyumba Nafuuu

    Namna Kujenga & Kurekebisha Kuvuja Paa la Contemporary Houses (hidden roofing)

    Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba...
  7. Kuwite94

    Ramani ya kisasa ya hidden roof ya bei nafuu

    RAMANI YA NYUMBA YA GHARAMA NAFUU YA MTINDO WA HIDDEN ROOF YENYE VYUMBA VITATU VYOTE VYA KAWAIDA NA INA SEBULE KUBWA INAYOTUMIKA KULIA CHAKULA PIA INA.... ¶JIKO ¶STOO ¶CHOO CHA KUSHEA ¶BARAZA MBILI -UKUBWA WA RAMANI MITA 13.6 KWA MITA 12.1 -MAHITAJI: TOFALI 3500 BATI PISI 38 KUPATA RAMANI...
Back
Top Bottom