UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs

Naipenda kwa nje ila kwa ndani sijapenda planning sana. Bedrooms hazina makabati (ukiyaweka utaona yanafinya sana vyumba, pia zingatia bedside tables pembeni ya vitanda). Sijui kwa nini Hall na kitchen vinaingiliana kwa sliding door tena pana hivyo, jiko linaonekana litasumbua matumizi. Hujaonesha sink, fridge, cooker na counterspace kwa food prep/serving. Kwa nyumba kama hii jiko lingependeza likiwa na pantry/scullery.

Kwa master bedroom sijapenda namna shower na wc vilivyofungiwa...na je inamaana mtu awe na shower curtain ama glass partition kwenye shower area? Hizo his/her washbasins hazijakaa poa kugusanishwa hivyo, assume unahitaji 900mm c/c kwa watu wawili kuweza kusimama hapo na kuswaki kwa pamoja.

Vingine ni kama walivyosema wengine.
 
Kujua mahitaji yako katika ujenzi ndio msingi wa kuwa na nyumba nzuri na isiyokukera, unazionaje design hizi?? Unahitaji nyumba ya aina gani tukutengenezee ??

Call/WhatsApp +255715477041





 
Designer:: nile_house_designs
Call/WhatsApp 0715 477 041

Karibu upate design nzuri na zenye muonekano wa kipekee kulingana na mahitaji na uwezo wako.

We bring clients ideas and wishes into reality!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…