Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Kwa vipi? Tuwekee hapa mkataba wa kweli, siyo unaodhaniwa, tuuchambue na sisi. Watu wanaogopa nini kuuchapisha?
 
sioni kama lengo ni lumchafua JPM. mlitaka CAG afiche report akae kimya?
Lengo linajulikana mzee, SSH mbona ameropoka na kujionyesha wazi yupo after kuchafua jina la JPM, mfano mwepesi inshu Kigwangala JPM alishawahi kuisema hadharani kabisa kuwa Waziri anagombana na Katibu mkuu wake kwa kuwa Kigwangala anataka kutoa pesa bila ya kufuata utaratibu, na akawapa muda wapatane vinginevyo atawafukuza wote, leo JPM anaambiwa alikuwa anaiba 600m hizo za Clouds???
 
1617909167034.jpeg

Habari wakuu

Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.

Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?

Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.

Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...

Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?

Uzi tayari
 
Umekosea swali.Aliyemshauri vibaya Ndugai ni nani?
 
Baada ya mwaka tu tutamkumbuka sana JPM, mafisadi wanaanza kurudi kwa kasi ya ajabu, JK is behind huu upuuzi wote, waweke mkataba wazi kama kweli una manufaa kwetu. SSH ni loudspeaker tu, nyaya zinatoka hukoooo, huyu ndio atakuwa Rais dhaifu na wa hovyo kuwahi kutokea Tz.
Hili hatuwezi kulikubali.Usenge wakuturudisha misri wakati tunaiona kanani haitawezekana asilani
 
Habari wakuu

Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.

Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?

Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.

Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...

Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?

Uzi tayari
Spika angalia utakuja sutwa sana haya nenda polepole. Angalia mwenzako Kigwa
 
Habari wakuu

Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.

Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?

Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.

Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...

Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?

Uzi tayari

Deusdedit Kakoko na genge wenzake ndio walikua wanamjaza uwongo Magufuli
 
Ukiacha kumskia Mwendazake... hayo masharti uliyaona wapi zaidi
ikijengwa na ika kamilika hii bandari ya bagamoyo ipo siku Tuta mkumbuka JPM....
JPM alikataa yale masharti yaliyo kuwepo baada ya kuona ni unyonyaji ulio kidhiri....
Ndungai toka mwanzo alitaka hii bandari ijengwe....
Lazima uangalia kuwa hapa kuna kitu..

Ila sawa Wa afrika Ku uzwa tumesha zoea

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ndugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??

Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??

Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.

Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.

Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
Ndugu yangu wanasiasa hawa si wa kuwapa dhamana,leo anasema hiki kesho anasema kile

Ova
 
Back
Top Bottom