Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

Habari wakuu

Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.

Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?

Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.

Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...

Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?

Uzi tayari
Naona umeanza utani na profesor Kabudi sasa
 
Ndugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??

Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??

Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.

Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.

Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
 
Wewe unaweza kuacha kazo yako humu JF au unaongea tuu watoto wade njaa
Ndugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??

Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??

Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.

Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.

Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
 
Habari wakuu

Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.

Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?

Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.

Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...

Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?

Uzi tayari
Lile jiwe halishauriki liliamua lenyewe
 
Ndugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??

Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??

Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.

Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.

Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
Mataga hizi wiki mbili tatu mna kazi sana walahi
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right

Mkuu wewe ni Mzalendo haswa...
Kwenye hili la Bandari na wachina liongelee kila Uzi Mkuu!
Tutaishi Vibaya sana wakati wao wakiwa hawapo Duniani...
Otherwise wauweke wazi? Wazi wapi Bungeni ambacho 100%Ni chama kimoja?
Sasa Wananchi kama wewe Mtaujuaje?
Na Mkataba ni Siri!
MUNGU atusaidie mnoo
Unaweza Potexwa hivi hivi na Wanaopigia Debe wana Hasira,Guvu,Ushawishi,Mahhela,labda Sauti ya MUNGU sidhani kama wanaiogopa!
Kikubwa Tujue Facts!Yaliomo!
 
Umpige mchina?!
Uliza wakenya na waDrc
Yaani demu mgumu alikuwa bongo tuu sasa kalinika
Hayo bado ni maneno na suppositions, sababu macho tunayo na tumezoea kudanganywa na wanasiasa basi mkataba uletwe tuone kwa macho yetu, na tusihishie hapo tu mikataba yote iwe transparent
 
Back
Top Bottom