Naona umeanza utani na profesor Kabudi sasaHabari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Ulitakiwa wa settle upya terms and condition sio ku cancel miradi muhimu kama ileMagufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Ndugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??
Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??
Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.
Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.
Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
Lile jiwe halishauriki liliamua lenyeweHabari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Tuma copy ya mkataba tuone huo usahihi wakeMagufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Kazi ipi hiyo??Wewe unaweza kuacha kazo yako humu JF au unaongea tuu watoto wade njaa
I second you mkuuMagufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Hata huyu mtu nilikuwa simkubali kwa mengi lakini kwa hili la ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nilimuunga mkono,ni mradi wa kimangungu kabisa.Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Mbona jibu ni rahisi,Mkuu lazima tujiulize nani aliyempotosha mh raisi ..
Siunajua lugha ile inampiga chenga ...
Mataga hizi wiki mbili tatu mna kazi sana walahiNdugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??
Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??
Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.
Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.
Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
Umpige mchina?!Kuambiwa pekee tunaweza kudanganywa..., Mkataba uwekwe wazi ili tujionee wenyewe kama tunapigwa au tunapiga...
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Hayo bado ni maneno na suppositions, sababu macho tunayo na tumezoea kudanganywa na wanasiasa basi mkataba uletwe tuone kwa macho yetu, na tusihishie hapo tu mikataba yote iwe transparentUmpige mchina?!
Uliza wakenya na waDrc
Yaani demu mgumu alikuwa bongo tuu sasa kalinika