Unasemaje?!!
Music industry
Filamu pendwa duniani
Ndege pendwa (Boeing)
Soda pendwa duniani (Coca-Cola, Pepsi)
Facebook
Twitter
Instagram
YouTube
Android
iPhone
Google
Microsoft
Computer pendwa duniani(Dell, hp,nk)
Master card
Visa card
PayPal
Uber
__________________________________________
Hawa jamaa wanauza mighahawa dunia nzima (McDonald), wanauza nyama za kuku Moscow Hadi Dar(KFC), wanafanya biashara ya tax majiji mbalimbali duniani (Uber), Soda zao za Pepsi na Coca-cola zinanywewa hadi Lupaso na ikwiriri na ndo kinywaji chao pendwa siku ya kesho pasaka. Watu maarufu duniani wanaojulikana hadi kule kijijini sitimbi ni akina Arnold Schwarzenegger, Rambo, Check Norris, 50 cent, 2pac, Michael Jackson, nk.
Kikubwa zaidi wanachojivunia ni uchumi wao mkubwa zaidi duniani ambao kimsingi umejengwa na mishemishe zao ambazo baadhi nimezitaja hapo juu.
Russia hawana chochote kinachotumika hadi nanjirinji zaidi ya Kaspersky labda utuorodheshee wewe hata vitu vitano tu.