Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Urusi imepata kipondo Cha karne
Utakuwa una matatizo kichwani mwako!! Yaani Ukraine imebaki magofu halafu unasema Urusi imepata kipondo!!? Hakuna hata kombora moja limetua Urusi na warusi wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Anyway may be you are paid for this fcking propaganda!!
 
Hii ngoma Russia anapoteza muda wake tu na ni kweli kabisa vita ya chini amepunguza kwa asilimia kubwa.
Vita ya chini ni ngumu sana especially pale ambapo askari wengi hawana morale ya kupigana kwa kuwa hawaelewi hata sababu ya wao kuingizwa vitani

Russia yeye abaki tu kwenye long range missiles. Huko ground anachezea kipondo
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Mkuu sio muingereza tu hata US pia kupitia kampuni ya Maxer technology Ukraine imeweza kupata data nzima vilipo vifaru na magari ya Kirusi,kwa hiyo wanavizia na kupiga tu.
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA

Kombola lililoizamisha Meli ya Kivita ya Urusi,Moskva sio Msaada wa Nchi yoyote ile kwa Ukraine. Kombola Hilo linaitwa "NEPTUNE ANTI-SHIP MISSILE SYSTEM". Kombola hili Ni MADE in UKRAINE na lilifanyiwa FINAL TEST mwaka 2021.

Kwahiyo lengo la DEMILLITIZATION OF UKRAINE la Urusi halijatimia kwasababu Kama Bado Ukraine ina ANTI-SHIP MISSILES Bado yupo Gado.

Udhaifu wa Neptune ANTI-SHIP MISSILES Ni Low Range (Only 15Km) kwahiyo Urusi imesogeza Meli zake Umbali wa 60Km kutoka bandari ya Odesa.

Kama Ukraine akipenyezewa LONG RANGE ANTI-SHIP MISSILES Kama LMC za Marekani zenye Range ya 500 Miles (800Km) Basi Meli zote za Urusi ndani ya Black Sea zitakuwa Within the Range,Kwa Usalama,Urusi atalazimika kuziondoa black Sea kwa Sasa. Hata Kuziondoa itakuwa Shida kwasababu Tangu Machi 7 Uturuki alishafunga Mlango bahari wa Kuingia Black Sea.
 
WaTaz bana! Yani Ukraine anavozidi kuchakazwa,Nchi nzima idadi ya magofu ya kale yakizidi kuongezeka, idadi yawanaikimbia nchi ikiongezeka nk nk uku maelfu ya Wanajeshi wake wakisalimu amri kwa majeshi ya Russia alafu anakuja mTZ anasema Urusi anachakazwa dah! Kuzamishwa kwa meli ni kitu cha kawaida ukiwa vitani... Na ikumbukwe Ukraine sio Irak wala Syria au Libya Ukraine inakila Teknoloji aliyonayo Mrusi... Anatengeneza makombora yake mwenyewe, anatengeneza ndege tena za kisasa mwenyewe nk nk... Kombora lililozamisha Moskova ni Neptune anti ship missile lililotengenezwa na Ukraine yenyewe lina kwenda umbali wa 300KM sawa na la Iran au C802 ambalo Hezbollah walimgonga nalo melivita ya Israel 2006... Kilichotokea kwenye Moskova ilikua imepaki na radar zote zikiwa off ivo isingeweza kujilinda na kumbuka Moskova ilikua na silaha nyingi ndani hivo secondary explosion caused by ammunition au silaha ambazo ilikua Nazi ndo chanzo cha kuzama maana baada ya kulipukiwa na Neptune haikuzama Russia waliikokota hiyo Moskova lakini kulingana na milipuko ya silaha zake yenyewe ilizama baharini ikiwa inapelekwa Russia... Hii Vita Russia hapigani pekee ake anapigana na US na NATO na nchi kadhaa lakini bado atashinda... RUssia anajipanga na anapeleka majeshi yake aneo jingine lengo ni kuigawa Ukraine same scenario ya Korea tutegemee East Ukraine Pro Russia na West Ukraine Pro Western countries.. Ukraine itachoka muda sio mrefu ata angekua US pekeake bado angepata shida kwa nchi km Ukraine... US/NATO zimekaa miaka mingapi Afghanistan?
 
Sasa kama ni kweli meli yake imejilipua Sasa huyo ministry of defense wa Urusi anatishia kushambuliwa Kiev kwanini?

Na mchana huu katoa tangazo kulipua kiwanda Cha siraha karibu na Kiev kulipizia kuzamishwa kwa meli yake
 
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
Kweli kabisa afu usisahau yule Rais wao ni comedian hivyo c ajabu wakisema wameshinda wakati nusu nchi imeisha tekwa.
 
Si alisema atakayeingilia atapata Cha mtemakuni, wanaume wanaingia tu Ukrein na kugawa siraha
Nenda basi angalau frontline tukuone. Maana Ukraine na Russia wote wana recruit. Nashangaa majasiri mmejaa mnapigana vita kwenye keyboard. Angalau muingie front mkaone utamu wa vita halafu ndio mje kutuhadithia utamu wa hizo silaha kutokea kwa wafu.

Wakati mnafurahia kuna wamama wamepoteza watoto, familia zimeachana, miji imeharibiwa, watu wamepoteza ajira.
Endeleeni kufurahia na kushangilia Warusi na WaUkraine wa Bongo!
 
Warusi wa buza wata kwambia russia aja tumia silaha zake [emoji81][emoji81][emoji81]uchapike wakati ndani una silaha kalii
Silaha gani tena wakati sasa kilichobaki kwa dikteta Putin tunaona ni nyuklia tu ndio anayoiongelea.

Ameshasukumwa hadi kwenye kona na ameishiwa kabisa mbinu na hamna tena silaha aliyobakiza tofauti na nyuklia.
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Habari za kitoto kama hizi unatakiwa uwasimulie watoto wako wa chekechea siyo watu wenye akili zao!pumbavu
 
kuna statement aliitoa Boris akiwa Ukraine kuwa atawapa siraha ambazo Urusi hatuthubutu tena kuwavamia,kauli ile ilitakiwa Mrusi ajitafakari ! fumba na kufumbua Nyambizi no1 ya Urusi inazamishwa,means uwezo wao mashambulizi kutokea baharini utapungua kwa kiwango kisichotarajiwa.Nasikia mifumo ya kiulizi(defense system) ilikuwa hacked ndo ikashambuliwa na makombola ya kufa mtu,ikabaki kuelea tu kwa muda mfupi na lastly kuzama.Russia has been weakened militarily
Unaongea kirahisi rahisi kama mpika chai
 
Back
Top Bottom