Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,998
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.
Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.
Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k
Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.
Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.
Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.