Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
Mi nilipoona TU kuwa Juvelin ni ya uingereza ndi nikashangaa,maana Mimi kumbe nilikua wrong,nilikua najua ni ya USA.
 
Mosi, vita ni vita loss ni kwa kila upande, hasa inapokuja infantry tegemea loss haujalishi ni nchi gani kubwa au ndogo. Mifano kidogo
US vsTaliban US alipata Loss na issue zingine hazikuwekwa wazi( classified),
US vs Saddam Hussein
Hezbollah vs Israel Army nk. Hakuna vita ya ushindi wa 100% kwa upande mmoja, haijalishi ubora na udhaifu wa upande mmoja dhidi ya mwingine. Kuna tanks za Israel ziliaminika sana lakini zilikula kichapo kikali na Hezbollah na hiyo ndiyo vita! Kwa nashangaa watu wasiofaham mambo kuhusu vita. Loss ni kawaida sana! Vifaa vimeundwa na binadam, wakati mwingine mifumo ya computer huweza kujam, error na malfunctions. Kwa hakika kuna factor nyingi sana.
Hii comment Yako ndio ilitakiwa iwe ndo thread hapa.
Na kwa kuongezea TU ni kwamba hata Somalia USA alipata loss
 
Rusia nguvu anayo hapo anapigana na zaidi ya nchi saba
Akisaidiwa na china & north korea itakuwa ni balaa do not undermine rusia kwa sababu ya kuweka huruma upande wa pili
Mie ule msururu wake wa vifaru uliniacha hoi, alikuja kwa mbwembwe na mapicha yote, Ila kwa kuondoka hata hakutuonyesha picha[emoji2]
 
Mi sioni kitu cha ajabu kwenye vita kupoteza silaha vita yoyote ile lazima upate hasara.sasa nashangaa Urusi kupoteza meri moja imekuwa balaa wakati Ukraine kapoteza zaidi ya meri 15. Wakati uwo uwo na maeneo zaidi wanaendelea kuchukua.silaha za Urusi ni best katika uwanja wa vita kulipuliwa kwa vifaru ni jambo la kawaida wala hakuna kifaru duniani ambacho kitasalimika kwenye Anti tank.kama kipo nitajie
 
Hawa pro US stress za kichapo na nchi kugeuzwa jangwa zinawasumbua sana, zimewatoa akili ukiangalia mada nyingi humu utawajua jamaa wanaugua maradhi ya stress + wamezidi kumchukia Urusi kutokana na nchi ya Ukraine kuipa kichapo kupelekea nchi yote kugeuzwa magofu, yaani wanaforce kuandika habari za kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23] huku wenzao huko wanaishi kama panya, yaani nchi miundombinu yoote imekufa, majimbo yamemegwa, jana pekeake wanajeshi 1500 wa Ukraine wamejisalimisha ila hawatoi hizi habari, mm huwaga nacheka sana nikiona hizi habari zao za kujifariji, kawaida nakua naingia tweeter na telegram kujionea hali halisi, kama kutakua na nchi inayoitwa Ukran basi hawatosahau maisha hichi kichapo ilichochezea
Ongea point bhna acha mashairi
 
Hawa pro US stress za kichapo na nchi kugeuzwa jangwa zinawasumbua sana, zimewatoa akili ukiangalia mada nyingi humu utawajua jamaa wanaugua maradhi ya stress + wamezidi kumchukia Urusi kutokana na nchi ya Ukraine kuipa kichapo kupelekea nchi yote kugeuzwa magofu, yaani wanaforce kuandika habari za kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23] huku wenzao huko wanaishi kama panya, yaani nchi miundombinu yoote imekufa, majimbo yamemegwa, jana pekeake wanajeshi 1500 wa Ukraine wamejisalimisha ila hawatoi hizi habari, mm huwaga nacheka sana nikiona hizi habari zao za kujifariji, kawaida nakua naingia tweeter na telegram kujionea hali halisi, kama kutakua na nchi inayoitwa Ukran basi hawatosahau maisha hichi kichapo ilichochezea
Kupiga makazi ya watu huo ni wehu,wenye akili wanapiga vifaa vya kijeshi na operators wao kama lile lijimeli kuubwa la yule muuaji.
 
Nenda basi angalau frontline tukuone. Maana Ukraine na Russia wote wana recruit. Nashangaa majasiri mmejaa mnapigana vita kwenye keyboard. Angalau muingie front mkaone utamu wa vita halafu ndio mje kutuhadithia utamu wa hizo silaha kutokea kwa wafu.

Wakati mnafurahia kuna wamama wamepoteza watoto, familia zimeachana, miji imeharibiwa, watu wamepoteza ajira.
Endeleeni kufurahia na kushangilia Warusi na WaUkraine wa Bongo!
Usiumie ndugu,nimeku-classify ulipo ndugu[emoji23]
 
Hakuna lolote zaidi ya ushabiki maandazi!Russia anaenda taratibu kupunguza vifo vya raia!Wanaume wote wenye nguvu wamezuiwa kutoka Ukraine,wamepewa silaha wapambane,wakipelekewa moto mnakimbilia kulialia oooh sijui war crimes!
Halafu hii Russia anasema ni operation tu,sio total war!
US na hao UK wanachukua tahadhari zote kabla ya kufanya jambo Ukraine!Kama Wana ubavu basi waingize jeshi Ukraine!
Convoy ya deraya ya km 60 ni operation ndogo,team dictator acheni kujitoa ufahamu.
 
Convoy ya deraya ya km 60 ni operation ndogo,team dictator acheni kujitoa ufahamu.
Ulitaka convoy iwe km ngapi ndio iwe operation?
Fungua akili,hata convoy ingekuwa km 3000,Cha msingi ni malengo!
 
Sawa.
Mpelekee Ukraine ushauri amvamie Russia naye alipue kambi za kivita. Asiendelee kuruhusu vita ipiganwe nchini kwake tu ona miji inachakaa
 
Hiyo siyo Russia tu, hata US bila Military Tech, hana cha kujivunia!
Unasemaje?!!

Music industry
Filamu pendwa duniani
Ndege pendwa (Boeing)
Soda pendwa duniani (Coca-Cola, Pepsi)
Facebook
Twitter
Instagram
YouTube
Android
iPhone
Google
Microsoft
Computer pendwa duniani(Dell, hp,nk)
Master card
Visa card
PayPal
Uber
__________________________________________
Hawa jamaa wanauza mighahawa dunia nzima (McDonald), wanauza nyama za kuku Moscow Hadi Dar(KFC), wanafanya biashara ya tax majiji mbalimbali duniani (Uber), Soda zao za Pepsi na Coca-cola zinanywewa hadi Lupaso na ikwiriri na ndo kinywaji chao pendwa siku ya kesho pasaka. Watu maarufu duniani wanaojulikana hadi kule kijijini sitimbi ni akina Arnold Schwarzenegger, Rambo, Check Norris, 50 cent, 2pac, Michael Jackson, nk.
Kikubwa zaidi wanachojivunia ni uchumi wao mkubwa zaidi duniani ambao kimsingi umejengwa na mishemishe zao ambazo baadhi nimezitaja hapo juu.

Russia hawana chochote kinachotumika hadi nanjirinji zaidi ya Kaspersky labda utuorodheshee wewe hata vitu vitano tu.
 
Back
Top Bottom