Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Russia naye hakuwa amepeleka majasusi wake muda mrefu ukraine? tena pale ni karibu sana na wana uhasama wa muda hawa na ni ndugu urusi si supapowa na ni mahiri kwenye ujasusi au urusi alikuta ashachelewa
Mkuu urusi wanasemwa hawana utaalamu wa vita, wao wanachojua wana silaha nzito wanapeleka majeshi kazini tu liwalo na liwe., mimi napata shida sana ninavyomuona Zelensky anafanya main-interview akiwa kaketi kwenye maviti na mameza yale ya duara refu na makochi ya kifahari akiwa Kyiv ambayo toka February tunaambiwa na kuaminishwa Russia wameizunguka Kyiv.,

Russia alivyoanza mashambulizi mabomu yalitokea kila upande wa Ukraine, majeshi ya Ukraine wakatakiwa waweke silaha chini kwa hiari zao yote hayo nakumbuka, kuna wakati Zelensky Marekani walituma ujumbe wakamuokoe akakataa lakini baada mpaka siku 30 hivi naona Urusi wamerudi kukomboa japo hiyo Donbas, Huko Donbas nako mrusi ana struggle napata shida sana nikimsikia mtu siju Mrusi sijui Mrusi, Mrusi anatisha nina mashaka sana na huyo Mrusi wa mchongo
 
Silaha zote za nato zimekusanywa ukrain yaaani urusi inapigana karibu na nchi zote 28 za nato kupitia ukrain
kataka mwenyewe ndio maana Biden rais wa marekani hakutegemea kama Putini angekuja na maamuzi ya kuivamia ukraine mwache apewe somo na upande mwengine russia alikuwa anategwa kiuchumi akaingia mzimamzima
 
Habari kutoka katika vijiwe vya kahawa
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
 
kiev pale center mbona mrusi kashindwa kurusha bomu? ameishia kurusha huko vijijini tu, ukiangalia hapa vita sio urusi na ukraine bali ni urusi na nato, ukraine hapa imetumika tu kama ground, sasa jiulize kati ya urusi na nato, nani kapata loss na uchumi wake kuharibika?
Kwahio kiev center haijapigwa [emoji119][emoji119][emoji23], duh mwanangu umenishinda
 
Sijui kama mnakua wageni wa vita, ktk vita lazima kutatokea matokeo kama haya kuzamisha kwa meli, kupigwa vifaru, kupigwa kwa ndege as well as drone but kutokea kwa mambo kama hayo haiondoi uhalisia wakivita, yes kupigwa kwa meli lazima pro America wafurahi kwa sababu Urusi ni mpinzani wao ndio maana yakupeleka silaha lakini pia kupigwa kwa miundombinuya kijeshi ya Ukraine na NATO kama viwanda na air defence ndege nk lazima wachukie
Ni kama wewe na pro Russia wenzako mlivyochukia meli kuzamishwa na kufurahia Ukraine inavyoshambuliwa
 
NATO wa buza mna matatizo ya akili!
Kwanini majeshi ya US Yako Poland na sio Ukraine?Ingizeni jeshi rasmi Ukraine ndio muelewe Nini Putin anamaanisha!Kuwapa silaha au kuwauzia sio kuingilia vita,wakati wa vita ndio nchi Huwa zinafanya sana biashara ya silaha!
NATO wa huko kwenyewe(sio buza) Pamoja na US wanasema wanahakikisha kila hatua wanayofanya juu ya Ukraine basi haitapelekea kuescalate Kwa vita na kuwa WW3!Sasa ninyi NATO wa buza mnakuja na version yenu,aisee!
Ukraine si mwanachama wa NATO, wala hayuko EU, wala hajawahi ingia makubaliano ya ulinzi na NATO au washirika wake.... Urusi iiguse Poland uone moto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO wa buza ndio mko busy na habari ya meli!Laiti mngepima madhara iliyoleta kwa Ukraine basi mgekuwa mnaomboleza Ukraine losses!
Oil depots,military base,military machine factory zimepelekewa moto wa kutosha na hiyo meli!
Sema tu habari mnapewa za magofu ya makazi ya watu,hawawapi habari Wala picha ya Kambi zao za kijeshi zilizogeuzwa majivu na hiyo meli!
Zalensky kulialia kila siku kuomba silaha,sababu Mojawapo ni huyo mnyama kumpa moto wa hatari!
Hivyo vyote vitajengwa na aggressor kupitia reserve yake iliyoshikiriwa, Urusi yeye atarudishaje alivyopoteza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu urusi wanasemwa hawana utaalamu wa vita, wao wanachojua wana silaha nzito wanapeleka majeshi kazini tu liwalo na liwe., mimi napata shida sana ninavyomuona Zelensky anafanya main-interview akiwa kaketi kwenye maviti na mameza yale ya duara refu na makochi ya kifahari akiwa Kyiv ambayo toka February tunaambiwa na kuaminishwa Russia wameizunguka Kyiv.,

Russia alivyoanza mashambulizi mabomu yalitokea kila upande wa Ukraine, majeshi ya Ukraine wakatakiwa waweke silaha chini kwa hiari zao yote hayo nakumbuka, kuna wakati Zelensky Marekani walituma ujumbe wakamuokoe akakataa lakini baada mpaka siku 30 hivi naona Urusi wamerudi kukomboa japo hiyo Donbas, Huko Donbas nako mrusi ana struggle napata shida sana nikimsikia mtu siju Mrusi sijui Mrusi, Mrusi anatisha nina mashaka sana na huyo Mrusi wa mchongo
Ndugu tuliza mihemuko; Mauripol mpka ninapoongea sasa iko chini ya mrusi na wanajwahi wote wa Ukraine wamezuiliwa humo. Achilia hilo Kyive leo wamepata kichapo cha maana
Screenshot_20220416-192408.jpg
 
NATO wa buza ndio mko busy na habari ya meli!Laiti mngepima madhara iliyoleta kwa Ukraine basi mgekuwa mnaomboleza Ukraine losses!
Oil depots,military base,military machine factory zimepelekewa moto wa kutosha na hiyo meli!
Sema tu habari mnapewa za magofu ya makazi ya watu,hawawapi habari Wala picha ya Kambi zao za kijeshi zilizogeuzwa majivu na hiyo meli!
Zalensky kulialia kila siku kuomba silaha,sababu Mojawapo ni huyo mnyama kumpa moto wa hatari!
Na ndiyo maana tukaizamisha na kupelekea msiba mzito pale Kremlin,Warusi wa Kolomije ruksa kuungana na Putin katika kuomboleza pia
 
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
Majambazi wanapopewa kichapo wanakuwaga wanaiba nyumbani kwao?
 
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
Ukraine yeye anajitetea tu kwani anashindwa kurusha makombora urusi?lakini yeye anapambana kumuondoa kwenye ardhi yake tu, na kwa nguvu ya mrusi alijua kuwa ndani ya siku chache tu angekuwa ameshakamilisha malengo yake, lakini amekutana na hali tofauti kabisa,
 
acha kuwasikiliza hawa vijana wanaochukua info kutoka kwenye media za magharibi ndugu yangu,,,,,ukrain watu wanauwawa huko ovyo ovyo,,,,idadi ya vifo vya waukrain kwenye hii vita ipo almost 5 times ya vifo vya askari wa kirusi kwenye hii vita.

Usichukue info kweny media za magharibi na marekani!!!

watu wanakufa sana ukrain,,,inasikitisha kuna watu wanachochea ushabiki wa kishamba
Kwani kuna anayekataa kuwa watu hawafi?!!kwani ukraine naye angekuwa anashambulia urusi nako si kuna watu wangekuwa wanakufa (raia )?lakini yeye anajihami tu, na urusi hakutegemea kukutana na upinzani kiasi hicho, na yeye kupoteza vifaa na wanajeshi wake kwa kiwango hicho.
 
Back
Top Bottom