Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Mkuu usiite tena kijaveline, sema bwana javeline. Aheshimiwe alotengeneza hii mashine.

Uzi wako ungemalizia kwa kusema, zile anti ship missiles alizopewa ukraine ndani na UK, jana imezamishwa meli bora kabisa ya kivita ya russia. Meli bora kabisa ya kivita ya russia ikawekwa chini, mwanzo wazir wa ulinz russia alikanusha ila lately akakubali meli imezama ila kwa hitirafu ndondogo.

Ifike mahali tukubali kuwa UK, German, France n.k kama walivyomuacha mbali kiuchumi, ndivyo walivyomuacha pia kwenye majeshi.

Hii ngoma Russia anapoteza muda wake tu na ni kweli kabisa vita ya chini amepunguza kwa asilimia kubwa.
 
Kabisa mkuu, UK noma
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Kabla ya kuvuta Bangi hakikisha inatoa hizo mbegu ndio unakuja kuandika Uzi huku
 
Moskva imeshazama kwa msaada wa Anti-ship missiles. Kwa ambao hawaijui Moskva, ni meli ya kivita ya kisasa zaidi ya urusi. Urusi wanasema moto ndio chanzo cha kuzama meli hiyo wakati Ukraine wanasema waliishambulia kwa kombora la Neptune ndo ikapelekea kuzama.. Mwisho wa siku hii ilikua meli inayoogopeka sana na magharibi...ila inazidi kuonyesha Russia hua inafanya tu vitisho juu ya silaha zake
 
Hivi kumbe Vita imekwisha?!?! Na anayechapika ni Russia tu...[emoji23][emoji1787][emoji3][emoji16]
acha kuwasikiliza hawa vijana wanaochukua info kutoka kwenye media za magharibi ndugu yangu,,,,,ukrain watu wanauwawa huko ovyo ovyo,,,,idadi ya vifo vya waukrain kwenye hii vita ipo almost 5 times ya vifo vya askari wa kirusi kwenye hii vita.

Usichukue info kweny media za magharibi na marekani!!!

watu wanakufa sana ukrain,,,inasikitisha kuna watu wanachochea ushabiki wa kishamba
 
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
namshangaa sana huyu mleta mada aisee,,,,sijui ni kuto kufahamu vizuri maswala haya ya vita.....!!!???

ana ushabiki wa ajabu sana.
 
Back
Top Bottom