Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Wanatuona kuwa kama tuna chuki na Russia, wakitazama ID zetu wataona tupo humu kitambo, tulikuwa tukiikubali mno Russia toka miaka na miaka, tukiwa na mijadala na akina Elungata, hakuna mnazi au pro russia humu ndani kama Elungata. Tunaposema kuwa Russia ktk hili amechemka wanatuona kama hatujui kitu ila sisi tunajua tukifanyacho.
Endeleeni kujiliwaza wenyewe kwa wenyewe
 
Aibu kubwa sana nafikiri hata north korea kapata funzo kubwa sana ni bora awekeze kuboresha maisha ya wananchi wake naona vibom anavotutisha navyo ni vya kutungulia maembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kujipa moyo mnajipa moyo sana ila mna maumivu ndanikwandani mkiomba Urusi asimamishe mashambulizi[emoji16], kipigo kinaendelea mpaka sasa, mtatunga kila aina ya ngonjera humu ila kipigo kinaendelea
 
Mrusi si alitoa onyo yeyote atakaeisaidia Ukraine kwa namna yoyote ile cha moto atakiona,vipi mbona hatuoni hicho cha moto?
NATO wa buza mna matatizo ya akili!
Kwanini majeshi ya US Yako Poland na sio Ukraine?Ingizeni jeshi rasmi Ukraine ndio muelewe Nini Putin anamaanisha!Kuwapa silaha au kuwauzia sio kuingilia vita,wakati wa vita ndio nchi Huwa zinafanya sana biashara ya silaha!
NATO wa huko kwenyewe(sio buza) Pamoja na US wanasema wanahakikisha kila hatua wanayofanya juu ya Ukraine basi haitapelekea kuescalate Kwa vita na kuwa WW3!Sasa ninyi NATO wa buza mnakuja na version yenu,aisee!
 
Wanatuona kuwa kama tuna chuki na Russia, wakitazama ID zetu wataona tupo humu kitambo, tulikuwa tukiikubali mno Russia toka miaka na miaka, tukiwa na mijadala na akina Elungata, hakuna mnazi au pro russia humu ndani kama Elungata. Tunaposema kuwa Russia ktk hili amechemka wanatuona kama hatujui kitu ila sisi tunajua tukifanyacho.
Hakuna lolote zaidi ya ushabiki maandazi!Russia anaenda taratibu kupunguza vifo vya raia!Wanaume wote wenye nguvu wamezuiwa kutoka Ukraine,wamepewa silaha wapambane,wakipelekewa moto mnakimbilia kulialia oooh sijui war crimes!
Halafu hii Russia anasema ni operation tu,sio total war!
US na hao UK wanachukua tahadhari zote kabla ya kufanya jambo Ukraine!Kama Wana ubavu basi waingize jeshi Ukraine!
 
Rusia nguvu anayo hapo anapigana na zaidi ya nchi saba
Akisaidiwa na china & north korea itakuwa ni balaa do not undermine rusia kwa sababu ya kuweka huruma upande wa pili
 
Kwa hiyo tuamini kwamba Russia ndio wako Kyiv na Zelenskyy tayari alishapinduliwa na Russia alishapachika kibaraka wake Viktor Yanukhovych ndiye rais wa Ukraine.
Mimi nilicho andika nusu ya nchi Ukraine imetekwa sikusema Kyiv, afu Kyiv inakuja zamu yake we tuia utaona mwenyewe
 
Mimi nilicho andika nusu ya nchi Ukraine imetekwa sikusema Kyiv, afu Kyiv inakuja zamu yake we tuia utaona mwenyewe
Hawa jamaa wameathirika kisaikologia, eti wanalazinisha nyuzi eti Ukraine kashinda vita [emoji1787] wakati the reality huko kichapo kinaendelea mioyoni mwao wanaomba Urusi atangaze a
kusimamisha operations zake ila wakiangalia moto bado unapelekwa hata kama jamaa wanapewa kila aina ya silaha, mtu anaamka huko anatunga anasoma habari bbc alaf anajitungia nyuzi JF huwa nikiziona hizi nyuzi nacheka sana[emoji16][emoji16]
 
Humu wanatoa nyuzi za kujifariji sana[emoji1787][emoji1787], yaani nikiangalia huko tweeter alaf nikienda telegram kujionea hali halisi ilivyo thn nikija humu nikisoma nyuzi zao eti Ukrain kashinda huwaga nacheka sana, yaani mpaka Urusi kuekewa vikwazo aina vyote kila siku, Rais wao kingwendu kukimbia nchi kusikojulikana, askari wa Ukraine kila siku wanajisalimisha maelfu, baadhi ya majimbo kujitangazia uhuru wao kujitenga na Ukraine, mamilioni ya raia kuwa wakimbizi, Usiku mchana mashambulizi alafu inatokea ng'ombe humu inadai eti Ukraine kashinda [emoji1787][emoji23][emoji23], Putin katoa kichapo mpaka kafanya watu mazezeta humu jf
I feel your frustration,endelea kucheka sana huku Putin anaomboleza huko Jimeli lake kuzamishwa,endelea kuchekelea huku Supapawa akiwa anadharirishwa na Taifa analolizidi kwa kila kitu,endelea kucheka wakati pale Kremlin watu wamepanic mpaka kila wakati wanatishia kutumia Nuklia.Najua kuendelea kucheka kwako ndiyo therapy yenyewe ya kujitibu.Mshauri pia na Putin aende Telegram na twitter akasome kinachoendelea Ukraine ili acheke pia kama njia ya kumpa ahueni badala ya kupanic muda wote na kutishia Nuklia.
 
Hakuna lolote zaidi ya ushabiki maandazi!Russia anaenda taratibu kupunguza vifo vya raia!Wanaume wote wenye nguvu wamezuiwa kutoka Ukraine,wamepewa silaha wapambane,wakipelekewa moto mnakimbilia kulialia oooh sijui war crimes!
Halafu hii Russia anasema ni operation tu,sio total war!
US na hao UK wanachukua tahadhari zote kabla ya kufanya jambo Ukraine!Kama Wana ubavu basi waingize jeshi Ukraine!
Mkuu bado tunaomboleza meli yetu kubwa ya kivita kuzamishwa.Tujipe muda kwanza tuomboleze,huku kujitutumua wakati bado tuna maumivu makali ya moyo ya kupoteza Manowari letu hakutupi unafuu wowote.
 
Rusia nguvu anayo hapo anapigana na zaidi ya nchi saba
Akisaidiwa na china & north korea itakuwa ni balaa do not undermine rusia kwa sababu ya kuweka huruma upande wa pili
Yamekuwa hayo tena,yeye atumie tu hata Nuklia si alikuwa anatishia.China kuingia kugombelezea huu ujinga hatoweza kamwe ndiyo maana kule UN aliamua kukaa kimya akamtelekeza 'mshirika' wake Mkuu.Kiduku wala hathubutu yeye yuko zake anawarushia vikombora vyake kwa kina Shark,whale na samaki wengineo baharini.
 
Hawa jamaa wameathirika kisaikologia, eti wanalazinisha nyuzi eti Ukraine kashinda vita [emoji1787] wakati the reality huko kichapo kinaendelea mioyoni mwao wanaomba Urusi atangaze a
kusimamisha operations zake ila wakiangalia moto bado unapelekwa hata kama jamaa wanapewa kila aina ya silaha, mtu anaamka huko anatunga anasoma habari bbc alaf anajitungia nyuzi JF huwa nikiziona hizi nyuzi nacheka sana[emoji16][emoji16]
The struggle is real and it reflects your name.Endelea kucheka tu hakuna namna ndiyo njia pekee ya kujifariji pia
 
Mimi nilicho andika nusu ya nchi Ukraine imetekwa sikusema Kyiv, afu Kyiv inakuja zamu yake we tuia utaona mwenyewe
Nusu gani imetekwa wakati sehemu wanayoshikilia haifiki hata 10% na kila siku wanajeshi wao wanauwawa hadi wameamua kutumia "Mobile Crematoriums" kusagia mili ya wanaouliwa kwenye vita.

Ni wale maafisa wa kijeshi tu ndio sasa wakiuwawa miili yao inarejeshwa Russia kwa mazishi, ni hatari sana.
 
Mkuu bado tunaomboleza meli yetu kubwa ya kivita kuzamishwa.Tujipe muda kwanza tuomboleze,huku kujitutumua wakati bado tuna maumivu makali ya moyo ya kupoteza Manowari letu hakutupi unafuu wowote.
NATO wa buza ndio mko busy na habari ya meli!Laiti mngepima madhara iliyoleta kwa Ukraine basi mgekuwa mnaomboleza Ukraine losses!
Oil depots,military base,military machine factory zimepelekewa moto wa kutosha na hiyo meli!
Sema tu habari mnapewa za magofu ya makazi ya watu,hawawapi habari Wala picha ya Kambi zao za kijeshi zilizogeuzwa majivu na hiyo meli!
Zalensky kulialia kila siku kuomba silaha,sababu Mojawapo ni huyo mnyama kumpa moto wa hatari!
 
Vita ya chini ni ngumu sana especially pale ambapo askari wengi hawana morale ya kupigana kwa kuwa hawaelewi hata sababu ya wao kuingizwa vitani

Russia yeye abaki tu kwenye long range missiles. Huko ground anachezea kipondo
Mosi, vita ni vita loss ni kwa kila upande, hasa inapokuja infantry tegemea loss haujalishi ni nchi gani kubwa au ndogo. Mifano kidogo
US vsTaliban US alipata Loss na issue zingine hazikuwekwa wazi( classified),
US vs Saddam Hussein
Hezbollah vs Israel Army nk. Hakuna vita ya ushindi wa 100% kwa upande mmoja, haijalishi ubora na udhaifu wa upande mmoja dhidi ya mwingine. Kuna tanks za Israel ziliaminika sana lakini zilikula kichapo kikali na Hezbollah na hiyo ndiyo vita! Kwa nashangaa watu wasiofaham mambo kuhusu vita. Loss ni kawaida sana! Vifaa vimeundwa na binadam, wakati mwingine mifumo ya computer huweza kujam, error na malfunctions. Kwa hakika kuna factor nyingi sana.
 
Vita ya chini ni ngumu sana especially pale ambapo askari wengi hawana morale ya kupigana kwa kuwa hawaelewi hata sababu ya wao kuingizwa vitani

Russia yeye abaki tu kwenye long range missiles. Huko ground anachezea kipondo
Hiyo siyo Russia tu, hata US bila Military Tech, hana cha kujivunia!
 
Back
Top Bottom