cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Ila Mjerumani sasa hivi ametulia sana hafanyi tena research za kivita ila Russia amewaforce waanze tena research [emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliibuka Wajerumani patakua hapatoshi
Mbona wanayanga ni waelewa sana? Kwani we umekumbwa na nini!? Umekuwa kama mshabiki wa mbumbumbu fc!!?Si tulikubaliana kuwa KGB ni bora kuliko CIA?
Wajerumani na Warusi wanaheshimianaIla Mjerumani sasa hivi ametulia sana hafanyi tena research za kivita ila Russia amewaforce waanze tena research [emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliibuka Wajerumani patakua hapatoshi
Unajua ina muda gani tangu ianze kufanya kazi?Moskva imeshazama kwa msaada wa Anti-ship missiles. Kwa ambao hawaijui Moskva, ni meli ya kivita ya kisasa zaidi ya urusi. Urusi wanasema moto ndio chanzo cha kuzama meli hiyo wakati Ukraine wanasema waliishambulia kwa kombora la Neptune ndo ikapelekea kuzama.. Mwisho wa siku hii ilikua meli inayoogopeka sana na magharibi...ila inazidi kuonyesha Russia hua inafanya tu vitisho juu ya silaha zake
Ukicheki silaha karibia zote za kikemikali na sumu zilivumbuliwa na Mjerumani vita ya kwanza na ya piliWajerumani na Warusi wanaheshimiana
[emoji3][emoji3]Ni Kama Kiduku tech ya magharibi Ni noma sanaMoskva imeshazama kwa msaada wa Anti-ship missiles. Kwa ambao hawaijui Moskva, ni meli ya kivita ya kisasa zaidi ya urusi. Urusi wanasema moto ndio chanzo cha kuzama meli hiyo wakati Ukraine wanasema waliishambulia kwa kombora la Neptune ndo ikapelekea kuzama.. Mwisho wa siku hii ilikua meli inayoogopeka sana na magharibi...ila inazidi kuonyesha Russia hua inafanya tu vitisho juu ya silaha zake
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.
Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.
Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k
Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.
Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.
Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Boris na huo msauti wake na kuinama[emoji2]kuna statement aliitoa Boris akiwa Ukraine kuwa atawapa siraha ambazo Urusi hatuthubutu tena kuwavamia,kauli ile ilitakiwa Mrusi ajitafakari ! fumba na kufumbua Nyambizi no1 ya Urusi inazamishwa,means uwezo wao mashambulizi kutokea baharini utapungua kwa kiwango kisichotarajiwa.Nasikia mifumo ya kiulizi(defense system) ilikuwa hacked ndo ikashambuliwa na makombola ya kufa mtu,ikabaki kuelea tu kwa muda mfupi na lastly kuzama.Russia has been weakened militarily
Khaa stress zipHio prfile yako tu inaonyesha kuwa ww ni chawa wa bbc, wenzako nchi yao imegeuzwa jangwa huko na mamilioni ya raia kukimbia nchi mamelfu ya wanajeshi kupoteza maisha na kujislimisha ww unakuja na urongo wako ilimradi upate comment [emoji23], watu washajitangazia uhuru katika majimbo yao, utakufa kwa stress kijana
Putin hata wasaidizi wake anakaa nao mita kadhaa maana hawaamini tena anahisi wanaweza kmdhuru. Mzee alifikiri vita ingekuwa rahisi sasa siku zinavyozidi kwenda mambo yanazidi kuwa magumu kwake.Urusi imepata kipondo Cha karne
ila Putin akiongea propaganda mnakuwa wa kwanza kuzileta humuKwani USA na EU anawalipa pesa wapambe wake muendeleze ujinga wa propaganda humu mitandaoni akiona media zake hazitoshi tu kufua dafu [emoji848][emoji38]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hawa pro US stress za kichapo na nchi kugeuzwa jangwa zinawasumbua sana, zimewatoa akili ukiangalia mada nyingi humu utawajua jamaa wanaugua maradhi ya stress + wamezidi kumchukia Urusi kutokana na nchi ya Ukraine kuipa kichapo kupelekea nchi yote kugeuzwa magofu, yaani wanaforce kuandika habari za kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23] huku wenzao huko wanaishi kama panya, yaani nchi miundombinu yoote imekufa, majimbo yamemegwa, jana pekeake wanajeshi 1500 wa Ukraine wamejisalimisha ila hawatoi hizi habari, mm huwaga nacheka sana nikiona hizi habari zao za kujifariji, kawaida nakua naingia tweeter na telegram kujionea hali halisi, kama kutakua na nchi inayoitwa Ukran basi hawatosahau maisha hichi kichapo ilichochezeanamshangaa sana huyu mleta mada aisee,,,,sijui ni kuto kufahamu vizuri maswala haya ya vita.....!!!???
ana ushabiki wa ajabu sana.
kwahiyo info za uhakika tuchukue wapi ?acha kuwasikiliza hawa vijana wanaochukua info kutoka kwenye media za magharibi ndugu yangu,,,,,ukrain watu wanauwawa huko ovyo ovyo,,,,idadi ya vifo vya waukrain kwenye hii vita ipo almost 5 times ya vifo vya askari wa kirusi kwenye hii vita.
Usichukue info kweny media za magharibi na marekani!!!
watu wanakufa sana ukrain,,,inasikitisha kuna watu wanachochea ushabiki wa kishamba
na kila siku anawabadilishaPutin hata wasaidizi wake anakaa nao mita kadhaa maana hawaamini tena anahisi wanaweza kmdhuru. Mzee alifikiri vita ingekuwa rahisi sasa siku zinavyozidi kwenda mambo yanazidi kuwa magumu kwake.
Ni ya muda sana nadhan soviet eras, kama ilivyo meli na aircraft carriers nyingi. Huwa hawaanzi project mpya wana modernize vya zamani...Nahic unaona russia ana excuse kwamba ni ya zamani. Hapana Moskva ni very modernized ndugu, na very popular hadi ije kutokea nyingine