Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Na ndiyo maana tukaizamisha na kupelekea msiba mzito pale Kremlin,Warusi wa Kolomije ruksa kuungana na Putin katika kuomboleza pia
Anayeomboleza Yuko anawasha moto huko Kyiev
 
Kwahio kiev center haijapigwa [emoji119][emoji119][emoji23], duh mwanangu umenishinda
kiev centa hawajapiga walipiga kule nje nje ya kiev ambapo wakashindwa kuingia town centa.. uliona wakati boris anatembea mitaa ya central kiev? kuna sehem iliyopigwa hapo?
 
Mkuu bado tunaomboleza meli yetu kubwa ya kivita kuzamishwa.Tujipe muda kwanza tuomboleze,huku kujitutumua wakati bado tuna maumivu makali ya moyo ya kupoteza Manowari letu hakutupi unafuu wowote.
8o988
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Yaaani wewe akili zako anazijua aliyekuleta hapa duniani, Russia umekalia nusu ya nchi ya Ukraine, juzi askali zaidi ya 1000wa Ukraine walinyoosha mikono juu. Sasa iweje Russia ichapike. Tumia IQ kiduchu tu.
 
acha kuwasikiliza hawa vijana wanaochukua info kutoka kwenye media za magharibi ndugu yangu,,,,,ukrain watu wanauwawa huko ovyo ovyo,,,,idadi ya vifo vya waukrain kwenye hii vita ipo almost 5 times ya vifo vya askari wa kirusi kwenye hii vita.

Usichukue info kweny media za magharibi na marekani!!!

watu wanakufa sana ukrain,,,inasikitisha kuna watu wanachochea ushabiki wa kishamba
Unataka tuchukue info kwenye media za Russia?
 
Yaaani wewe akili zako anazijua aliyekuleta hapa duniani, Russia umekalia nusu ya nchi ya Ukraine, juzi askali zaidi ya 1000wa Ukraine walinyoosha mikono juu. Sasa iweje Russia ichapike. Tumia IQ kiduchu tu.
Kama fahari yao waliokuwa wanaiabudu imepigwa kizembe na Ukrein,basi ndo kuchapika uko
 
Vita inapigana subeleni kwako......
Na bado unasema umetoa kichapo.
Yaani watu wanamiliki ardhi ndani ya nchi yako na bado unasema umewapiga.
Akili zenu zina kazi gani jamani?
Primary school tulikuwa tunachora mstari tunasema ukivuka nakukung'uta hata kama unayemwambia unamwona amekuzidi nguvu na akivuka kweli alikuwa anapigika! Sijui kwako wewe kama alipigika!
 
Una ujuaji mwingi.

Kama unajua elezea hapa. Acha ushamba wa kisukuma. Sasa comment yako imenufaisha nini uma wa jf? Ni bora tu usingeandika
Unanilipa? Kama umechukia kunywa maji!
Umma wa JF unanilipa?
 
Tech
Anapigana na Nato yote
Te
Silaha zote za nato zimekusanywa ukrain yaaani urusi inapigana karibu na nchi zote 28 za nato kupitia ukrain
Technically hiyo ni world war 3. Russia akitumia satanic missile Ukraine itakuwa majivu yote, sasa hivi anatumia siraha ndondogo , Sasa kama USA, UK wanapeleka siraha nzito ukrane tegemea maafa makubwa uko Ukraine.
 
Tech

Te

Technically hiyo ni world war 3. Russia akitumia satanic missile Ukraine itakuwa majivu yote, sasa hivi anatumia siraha ndondogo , Sasa kama USA, UK wanapeleka siraha nzito ukrane tegemea maafa makubwa uko Ukraine.
Hiyo satanic missile ni Russia tu ndiye mwenye kibali cha kuimiliki.
 
Back
Top Bottom