Kwann kuna kelele za Russia aondoe majeshi wakati mnampiga? Ajabu sana
Mwezi wa pili huu supapawa wa mchongo anahangaika kummaliza adui dhaifu aliye jirani yake pua na mdomo.