Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Urusi anapigana na nchi ngapi?? sio unaleta upupu wako hapa, Ukraine ndio sehemu ambapo kila silaha za Nato Zimepelekwa, na mercenaries kibao wanaua na kukamatwa huko, unadhani Ukraine angesimama peke yake leo angekuwepo? Urusi bado ni Giant tu, anapambana na wote Marekani na vibaraka wake
 
Ukrein daa wanakaza hatari
Mazuzu bana, sa ukraine anakaza nini wakati kila kitu wanafanya Marekani, uingereza na vibaraka wao!! bora ungesema Urusi ndio amekaza anapigana na nchi zaidi ya 28
 
Hatari
Screenshot_20220417-151912_Instagram.jpg
 
Tech

Te

Technically hiyo ni world war 3. Russia akitumia satanic missile Ukraine itakuwa majivu yote, sasa hivi anatumia siraha ndondogo , Sasa kama USA, UK wanapeleka siraha nzito ukrane tegemea maafa makubwa uko Ukraine.
Wanajeshi wa Ukraine pamoja na wapiganaji wa kujitolea waliobaki kama tegeneo mpaka sasa wamezingirwa huko Mauripol. Russia amewapa mda wa kujisalimisha. Sasa joti amebaki kutoa vitisho kuwa wakiuawa atasitisha mazungumzo.
 
Joti amegeuzia nchi yake uwanja wa majaribio ya silaha bila kujali nchi inateketea🐒
 
Unajua CIA wamepiga kambi Ukraine toka lini? Wengi mnaiangalia hii vita kishabiki sana!
Anyway nimekumbuka tu ile series ya IRIS...!
IRIS inatoa siri kubwa kwamba kuna organization duniani ambazo zinafaidika na vita moja kwa moja hivyo kwenye vita kwao ni biashara na hizo organisation zinamilikiwa na familia kubwa za magharibi hili jibu unalipata kupitia series ya Athena.

Capitalist are not humans, they are devils in human uniform.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unajua CIA wamepiga kambi Ukraine toka lini? Wengi mnaiangalia hii vita kishabiki sana!
Anyway nimekumbuka tu ile series ya IRIS...!
Kwa hiyo CIA ndio unaona bonge la watu unayajua majasusi ya KGB na Kremlin weye...
ama unaropokwa kishamba
 
Russian kwenye logistic wamefeli sana. Sijajua hawaangalii risk ya misafara mirefu na kwa nini hawasogei organically. Push adui sio kuingia kwenye circle. Hata wakati wa Julius Ceasar ilikuwa mistake kuingia ndani ya Circle ya adui. Ambush ni mbaya sana hsta mkwawa ilimpa ushindi.
 
Russia Ni hewa tu
 
Mmmmmh wewe ndo unajua?
Russian kwenye logistic wamefeli sana. Sijajua hawaangalii risk ya misafara mirefu na kwa nini hawasogei organically. Push adui sio kuingia kwenye circle. Hata wakati wa Julius Ceasar ilikuwa mistake kuingia ndani ya Circle ya adui. Ambush ni mbaya sana hsta mkwawa ilimpa ushindi.
 
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema.

Akapeleka msururu wa vifaru, magari na wanajeshi uko Ukrein.

Uingereza aliipatia Ukraine msaada wa siraha, Kama Risasi, bunduki, ant-tank missiles Kama Javellin n.k

Kwa kutumia Javellin ya muingereza,wa Ukrein waliweza kuvibonda na kuvipukuchua vifaru vya kirusi. Yaan Russia pamoja na kutamba kuwa ana developed Tanks lakin kwa icho kisiraha Cha muingereza, Vifaru vyake viligeuka majivu. Hii ilifanya Russia apoteze kwenye ground battle.

Juzi Boris Johnson alionekana anakatiza katika mitaa ya Kiev, na kuhaidi kutoa msaada wa Ant-ship missile kwa Ukrein. Kitendo Cha Uingereza kupeleka Javelin, short range air defense system Kama Startreak kumewafanya Russia kupigwa vibaya sana.

Ukweli niliouona Russia akikutana na Ma-giants Kama US, UK au Germany anachapika vibaya Sana.
Mnasemaje now
 
Back
Top Bottom