Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,651
- 22,819
Nidhamu ya uoga. Mzazi nae ni mwanadamu so akifanya mambo ya kipumbavu anakuwa ni mpumbavu sababu anafanya upumbavu.Baba hata azeeke vipi hawezi kuwa mpumbavu, hata awe na mambo gani ya hovyo hawezi kuwa mpumbavu, tujifunze kutowawekea vinyongo na kupuuza baadhi ya mambo ya mambo yao.
Kikubwa ni kujishusha zaidi na kutoonyesha hasira zako, chuki zako mbele yake kwa kuwa tunahitaji baraka zao zaidi.
Utakuwa sahihi ukisema sio sawa kushindana na mzazi ambaye amechagua kuwa mpumbavu bali ni vema kumkwepa ili mambo yake yasikuathiri kisaikolojia.
Tukiishi kwa misingi hii hata wewe kesho ukija kuwa na watoto wako utakuwa makini namna unawalea hautawaletea vituko.
Ila tumerithishana mifumo sumu( Toxic Systems) ambayo inafanya watu baadhi kuishi kwa maumivu sana jambo ambalo si sahihi.
