Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.
Wana-JF

Kuna tetesi eti Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Freeman Mbowe ana undugu wa damu na kina Makongoro, Madaraka n.k

Nimejaribu kuwafananisha kwa karibu na familia ya hayati baba wa taifa inaonekana kama kuna ka ukweli fulani.

Kama ni kweli basi kwa mantiki ya "like father like son" ni dhahiri kuwa chama pekee cha upinzani cha siasa nchini chenye nguvu kwa sasa na baadae ni CUF.

Naombeni mnitue dukuduku langu kwa wenye info zaidi kuhusu hii tetesi.

Sija kusoma fresh mkuu. Hata kama akiwa mtoto wa Nyerere hiyo inafanyaje CUF kuwa chama pekee cha upinzani? Kwani mtoto lazima awe kama baba? Lakini anyway back to the question. Hizi tetsi tuambie umezitoa wapi? Yani what is your source? Maana kama ni mitaani utasikia kila aina ya "nili sikia".

By the way......kama akiwa mtoto wa Nyerere kuna tatizo kweli? I think this is a personal matter.
 
Kwani ni nani ana uhakika wa asilimia 100 kuwa baba yake ni baba yake kwelikweli?
 
au alikuwa anamaana ya Nyerere ni baba wa taifa na mbowe kijana wa kiTZ
 
Hizi taarifa nilishawahi kuzisikia kwenye vikao vyetu vya 'gahwa', na kwa wale msio na taarifa ni kuwa: essence yake ni theory kuwa mchakato mzima wa kisiasa nchini ni USANII WA HALI YA JUU. Yaani siasa za 'mapandikizi' au kwa maana rahisi 'wote ni walewale'.

Baada ya ishu Chacha Wangwe ilivyoshughulikiwa na michakato mingine ya CHADEMA ilivyoendeshwa, kwa kiwango fulani naamini kidogo hizi theories japo si kwa asilimia 100%. Bado nipo open minded.
 
nadhani unajifunza utabiri sasa karibuni utafuzu
 
duh! CUF mnamambo
si huwa mnasema Mbowe mkabila na uchaga wake, leo tena mzanaki!
 
Kwa kifupi recently nilitembelea kule Hai kikazi na tulikuwa na hot discussion juu ya wanasiasa wa bongo ndipo wenyeji wakanitahabanisha kuwa Freeman ni mtoto wa Hayati baba wa Taifa ndio maana nimeona niulize hapa jamvini kama habari hii ni ya ukweli. Wenyewe wanasema kuna wakati Mzee mbowe aligombana na mkewe kwa sababu ya mkulu wa enzi hizo na baadaye wakarudiana baada ya kumwagiwa manoti "kucover up issue" ambapo ndio mpaka leo akina Mbowe ni matajiri
 
Last edited:
Hii thread sijui kwa nini imerudi? maana ni ujinga mtupu kujadili eti kuna tetesi fulani ni mtoto wa fulani. Ni kuwavunjia heshima wazazi na mtoto mwenyewe.

Mtoa Mada Kevo, ukisikia Chakaza eti ni Baba yako maana umefanana na mwanangu Ufudu utaleta mada hiyo kutuuliza kuwa "Je, wana JF mimi ni mtoto wa Chakaza?"

Acheni kujishusha kifikra kiasi hicho.
 
msisahau kuwa kanisa katoliki limeanza mchakacho wa kumtangaza mwalimu ni nyerere kama mtakatifu. habari au tetesi kama hizi, zitaufanya mchakacho huo uwe mgumu zaidi
.

makubwa haya.
 
Nadhani ni wakati tuviite vitu kwa majina yake, watanzania wengi huwa very protective ukiongelea mabaya ya nyerere. Fine tunashukuru kwa yote mema aliyotutendea but haibadilishi suala kuwa yeye ni binadamu anaweza kufanya makosa so tusim-treat kama malaika.
 
Nadhani ni wakati tuviite vitu kwa majina yake, watanzania wengi huwa very protective ukiongelea mabaya ya nyerere. Fine tunashukuru kwa yote mema aliyotutendea but haibadilishi suala kuwa yeye ni binadamu anaweza kufanya makosa so tusim-treat kama malaika.
Lakini tusimhukumu kwa kitu ambacho hatuna uhakika nacho.
 
niliyasikia hayakipindichakampeni mwaka 2005 kutoka kwa mtu wa kwaida tu,sasa kama umesikia kutoka kwa mtu wa namna hii .......basi lisemwalolipo kama halipo.........inawezekana ndio maana jamaa nyota yake inawaka sana kisiasa................ngoja tusubiri..........
 
Hapa labda mnishawishi kwa kutumia DNA. Lakini sioni kama hawa jamaa wanafanana. Hata kama DNA itakubalika what the heck, King David alipata mrithi King Solomon kwa njia hizohizo.


437x
free_sk.jpg



14970.jpg
nyerere.jpg
 
Hapa labda mnishawishi kwa kutumia DNA. Lakini sioni kama hawa jamaa wanafanana. Hata kama DNA itakubalika what the heck, King David alipata mrithi King Solomon kwa njia hizohizo.


437x
free_sk.jpg



14970.jpg
nyerere.jpg
angalia hair line zao
angalia mtu huru anavo kenua mdomo
binadamu wanabadilika wanapofika age fulani
 
Tatizo la wabongo ,na ukoministi kwa ujumla huwezi kumkosoa kiongozi !Nyerere alifanya mazuri mengi at the same time alituweka what we are now,hakuna kuprotest ,kumkosoa mtu etc.Gazeti haliwezi kumhoji kiongozi hata kama mnafahamu ana wanawake 5 nje!Imeingia hata makanisani,majua kuwa Padri anatembea na mke wa mtu ,lakini hakuna wa kusema ,hata mume anakubari tu.Askofy mmoja wa Kilutheri Dodoma alikuwa anatembea na secretary wake,akafanya hata mume wa secretary wake aache ndoa yake.Hakuna hata gazeti moja liliandika,which is the shame.Kawawa/Nyerere mnasema hawakuwa na mabibi wa nje ?

Tujadili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom