Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Naomba nijitokeze kuomba ufafanuzi ama kama kuna ukweli wowote katika hili.Siku za hivi karibuni nikiwa na jamaa yangu mmoja mwenye undugu wa karibu kabisa na familia ya Mangi Mkuu wa Wachaga Marealle alitueleza jambo ambalo kidogo nilitilia shaka ya kwamba Freeman Mbowe ni mtoto wa JK Nyerere.

Alizidi kutueleza ya kwamba Mzee Mbowe kama member wa CCM alikuwa kikazi mikoa ya Kusini na kipindi hicho Nyerere alikuwa Kilimanjaro kikazi hivyo kama rafiki wa karibu wa familia hii alikaa nyumbani kwa Mzee wa Mbowe hivyo uhusiano uliokuwa kati yake na mke wa rafiki yake kupelekea kuzaliwa kwa Freeman na kwamba hata katika mazishi ya Nyerere huyu jamaa alipata nafasi ya pekee kabisa kuweka wreath kwenye kaburi la mzee wake na kwamba ni mara nyingi sana yeye huwa anaenda Butiama.

Na ni kweli kuwa ndio maana CCM mara nyingi hawapendi kum-disturb.

Maswali
1. Ni kweli ni mtoto wa Baba wa Taifa?
2. Ni kweli mzee wake ni Mwana CCM wa zamani?
3. Ni kweli kuhusu hizi safari za Butiama?

Ama mwenye lolote lenye kushabihiana na hili.
 
Hmmm ... mtihani

Mtihani upi naimaomari?its just a matter of wether there is any truth in all this.Maana the source of this piece of info seemed to be so sure nikasema JF lazima kunapatikana majibu hivyo nikaleta hapa ili kupata majibu ya ndio au hapana.
 
Mtihani upi naimaomari?its just a matter of wether there is any truth in all this.Maana the source of this piece of info seemed to be so sure nikasema JF lazima kunapatikana majibu hivyo nikaleta hapa ili kupata majibu ya ndio au hapana.

Goodluck is always with those who dont include it in their plans ... this time it is included in yours ... wish you good luck
 
There u are......haya mimi niliyasikia miaka mingi na kama wewe niliyasikia katika familia za karibu za Mtu Huru....

Lisemwalo lipo....
 
Au ndiyo maana anaitwa FREEMAN = MTU HURU yaani kwa ufafanuzi zaidi ni mtu wa kote kote. Yaani Dar, Butiama au Kilimanjaro???
 
Au ndiyo maana anaitwa FREEMAN = MTU HURU yaani kwa ufafanuzi zaidi ni mtu wa kote kote. Yaani Dar, Butiama au Kilimanjaro???
free.jpg

wajuvi wa kufananisha....
Nyerere.jpg
 
siku zote lisemwalo lipo kama halipo basi laja,Yawezekana mkuu hakuna cha kubisha hapa mm nakuunga mkono haswa.Kuna watu hawataweza amini lakini mm nasema yawezekana kama limesha semwa basi litakuwepo tu.Kuna jamaa mmoja pale Msewe alikuwa na rafiki yake Mchina anamtembelea mara kwa mara ooh mama si akajifungua mtoto chotala hivi hivi kumbe mchina alikuwa namiliki.hii yawezekana wakuu.Ngoja wazee waingie kutafuta details then tutapata conclusion.
 
Mtihani upi naimaomari?its just a matter of wether there is any truth in all this.Maana the source of this piece of info seemed to be so sure nikasema JF lazima kunapatikana majibu hivyo nikaleta hapa ili kupata majibu ya ndio au hapana.

Nimesema mtihani kwa sababu the only person who can tell us the truth ni mama mtu ... wengine watakupa porojo tuuuuuuuuuu .... sasa tutampataje
 
JE,

1. Je ni baba mzazi (Biological Father)
2. Baba Mlezi
3. Baba wa Taifa (Maana Mtu Huru nae ni Mtanzania)
 
Naona na wewe wazidi kuhoji.

Dah!!!

Inabidi tuendelee kuhoji tukitumaini kwamba wenye majibu sahihi watachoka kukaa kimya na kuamua kuongelea hili...

Dah yaani kutoka Freeman Mbowe mpaka Freeman Kambarage Nyerere... Bado ngumu kumesa!!!
 
Kama kweli basi mtoto wa nyoka ni nyoka! Unajua kwa wachaga inakuwa ni siri sana jambo kama hilo, hasa hili ambalo likiwekwa wazi litasumbua umma. Maoni binafsi..... ila ni mjanja and more advanced kuliko nduguze wengine!!!! Sorry to say this???? Au kwa vile ana damu ya kichagga? Tafadhali sizungumzii ukabila hapa. Chaos.
 
Maswali
1.Ni kweli ni mtoto wa Baba wa Taifa?
2.Ni kweli mzee wake ni Mwana CCM wa zamani?
3.Ni kweli kuhusu hizi safari za Butiama?
Ama mwenye lolote lenye kushahibiana na hili.

My main concern sio majibu ya haya maswali...but.... tutayafanyia nini au yana impact gani kwa jamii....OK tuendelee kutafuta majibu!!!
 
Na nyie kwa upeku peku kweli mmeshindikana..haya ngoja tuone huyo wa kumvisha nyau kengele!!!!Kwi!! Kwi!!! Kwikwi!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom