Mtihani upi naimaomari?its just a matter of wether there is any truth in all this.Maana the source of this piece of info seemed to be so sure nikasema JF lazima kunapatikana majibu hivyo nikaleta hapa ili kupata majibu ya ndio au hapana.
(Kitanda hakizaii haramu),huu ni msemo wa wahenga kama Nyerere alimsaidia mzee Mbowe Freeman ukoo wake ni wa kina Mbowe ni mchaga na si mzanaki.Kitu pekee kinachoweza kutengua hili ni DNA sasa washauri wahusika wamfanyie DNA.