Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.
wajemeni nimesoma hii habri sina mbavu mimi ni kucheka jinsi watanzania mlivyo na data na inaweza kuwa kweli
 
Ni ukweli kuwa wote mnaojadili hii mada hamkupata bahati ya kumwona baba yake Freeman. Mimi niliyepata bahati hiyo niwahakikishie katika watu waliofanana na baba zao kwa sura, umbo na calibre ni Freeman na Aikaeli Mbowe.

Hii mada ni nzuri kwa wambeya na watu wanaopenda kujadili watu badala ya kujadili issues. Anyway kama kuna Mmachame humu ndani atakubaliana nami kuwa watoto waliozaliwa nje ya ndoa hawarithi nyumba aliyokuwa akiishi baba na mama yake. Hii ni mila serious sana ya Wamachame. Freeman amerithishwa nyumba na wazazi wake kwa kuwa hakuna mashaka ya uzaliwa wake!

Acheni Uzushi!!!!
 
Watu wenye mtindio wa ubongo ndio wana tabia kama yako kuandika kashfa za watu na mienendo ya watu kwenye mambo binafsi. Hili uliloandika si sawa. Jiulize tu ili iweje kama siyo au ndiyo. Lakini mimi nimekuelewa lengo lako ni kudhalilisha watu wengine. Kama CCM vile.
 
Kwamba ni mtoto wa asili wa mmoja wa Waasisi wa Taifa letu, na kwamba kila kitu tukijuacho leo hii kuhusu yeye Mbowe ni kwamba ni cover-up, tu ...


mbowe1jpg-2441479_lg.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom