Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.
Kutaka kujua si rahisi tu? Mtu aibe unywele wa Freeman Mbowe na wa mtoto wa Nyerere. Kuzipeleka Maabara na kutaka kuthibitisha itakuwa kazi rahisi tu. Ehhh, sisemi sasa mkanyonyowe Freeman wa watu Nywele, damu au mate na hawa ndugu wa Nyerere ili mkapime DNA.

Nafikiri kuna Rais wa USA miaka ya utumwa alikuwa hana mke ila kijakazi wake Mweusi. Wajukuu wa yule kijakazi walikuja kupimwa DNA na familia nzima ikakubalika kuwa BABA/BABU yao ndiyo huyo alikuwa RAIS. Hi hiiii Freeman Nyerere.

Lakini wanasema Kuzaa si kazi, kazi kutunza. Milele atakuwa mtoto wa Mbowe.
 
Mpekuzi Kevo ametuletea mpya sasa kazi kwetu kwa JF ku establish hili kwa wale wapekuzi wa mambo kuzama underground na kuibuka na la zaidi.
 
Hizi Rumours zilikuwepo long time tu...Sasa kwanini Kevo kazianzisha sasa hivi ndio swali.
Na kama wachangiaji wengine kama Naima walivyosema..Hii itabakia kuwa porojo unless mama mtu aseme kitu...Ama kama Freeman mwenyewe aridhie kusema hili wazi kwani nina IMANI litabadili sana sura ya mchezo wa kisiasa hapo bongo.

Ukweli huo ukiwekwa wazi basi sura ya mchezo inaweza kubadilika sana!

Mbowe na yeye kama wanampiga vita kwa uchagga na wakati huo huo watu wa huko Mara kumpa kura za Urais na Wangwe kusema ni yeye aliyesababisha akapata kura hizo.

Ili kuondoa dhana yoyote ya UBAGUZI na kupelekea UFREEMAN wake...Ni bora aweke wazi la sivyo kutokufanya hivyo hakutakuwa na manufaa yoyote yale kwa Mtanzania wala yeye mwenye.
Mix Ya mchagga na mwalimu kama ni ya kweli basi ni mix safi sana kwani mwalimu mwenyewe alikuwa hapendi wachagga.

Na chama chake kinataka kuuwa upinzani kwasababu tu ya uchagga na udini unaoletwa na waarabu wapya wa CCM.

Ni muhimu issue hii kama ikiangaliwa in a different perspectives.
 
Mix Ya mchagga na mwalimu kama ni ya kweli basi ni mix safi sana kwani mwalimu mwenyewe alikuwa hapendi wachagga.
.

Mushi,
Nilikuwa najiuliza jana tu kuwa hivi Nyerere kuwapiga vita Wasukuma/Wanyamwezi alikuwa na lengo gani? Kwa mawazo yangu nilikuwa najua siku zote kuwa Nyerere alikuwa HAWAPENDI Wanyamwezi/Wasukuma. Hili Kabila ingawa kwa wengine ni MAKABILA ni kabila moja liligawanyika kwa watu wa Kaskazini kwa Kinyamwezi tunasema WA-SUKUMA na Kusini tunaojulikana kama Wanyamwezi ingawa kwa Wa-sukuma sisi ni Wa-dakama yaani Wa-kaskazini. Sasa ukituchanganya utakuwa idadi yetu inatisha. Na kumbuka akina Mtemi Lugusha, Kasanga Tumbo, Fundikira, ni watu waliokuwa na mission ya kumuoandoa JKN madarakani. Fundikira alikimbilia Kenya, Kasanga Tumbo na Lugusha walipata House Arrest*. Hapo akawa kawaweka kabisa Wanyamwezi kapuni na kuwasau......

Nafikiri huyu Mzee au alikuwa na BAHATI au MUONO WA MBALI. Hivi watu wanavyosema juu ya WACHAGA na kama Wanyamwezi wangelikuwa wengi na very powerful kama walivyo Wachaga, mhhh. Kwanza wangeliweka Rais wao, Pm wao na Wachaga wakawa kama Watusi Rwanda. Kweli kingeliwaka. Wachaga nafikiri nao aliwazima kwa sababu kama hizihizi kwa kutegemea kuwa siku moja watachanganyika na wengine na hivyo UYAHUDI wao hautakuwa mkali sana wa kutisha. Ndiyo maana unaona makala ya Kuwashambulia Wachaga ilipingwa sana. Kisa tu ni kwamba watu wameamka na kuchanganyika sana na Wachaga. Mie mwenyewe hapa almanusura niowe Mchaga na tena mara mbili........

Ila naogopa huko mbeleni ntaowa Mchaga.
 
MBOWE IWEJE UANZISHE CHAMA KIPYA KWA KUTUMIA FALSAFA YA MUASISI WA CCM ? AU UNADHANI WATU HAWAJUI? SASA SUBIRI
Hiyo ni nukuu kutoka kwa mkuu kadampizani, nadhani ana mengi ya kutueleza
 
Hizi Rumours zilikuwepo long time tu...Sasa kwanini Kevo kazianzisha sasa hivi ndio swali.
Na kama wachangiaji wengine kama Naima walivyosema..Hii itabakia kuwa porojo unless mama mtu aseme kitu...Ama kama Freeman mwenyewe aridhie kusema hili wazi kwani nina IMANI litabadili sana sura ya mchezo wa kisiasa hapo bongo.
Ukweli huo ukiwekwa wazi basi sura ya mchezo inaweza kubadilika sana!
Mbowe na yeye kama wanampiga vita kwa uchagga na wakati huo huo watu wa huko Mara kumpa kura za Urais na Wangwe kusema ni yeye aliyesababisha akapata kura hizo.
Ili kuondoa dhana yoyote ya UBAGUZI na kupelekea UFREEMAN wake...Ni bora aweke wazi la sivyo kutokufanya hivyo hakutakuwa na manufaa yoyote yale kwa Mtanzania wala yeye mwenye.
Mix Ya mchagga na mwalimu kama ni ya kweli basi ni mix safi sana kwani mwalimu mwenyewe alikuwa hapendi wachagga.
Na chama chake kinataka kuuwa upinzani kwasababu tu ya uchagga na udini unaoletwa na waarabu wapya wa ccm.
Ni muhimu issue hii kama ikiangaliwe in a different perspectives.

Illegitimate people will always seek their improper legitimacy from legtimate people by illegitimate approach!

Hatutashangaa mkija na hoja kwamba Bill Clinton is Mbowe's biological father!

Kazi muliyonayo ni pevu! Kaaaaazi kwelikweli!
 
Du kama ni hivo basi Spin Doctors wana kazi... Hii kampeni alieanzisha ana malengo gani kwa Watanzania?

Mbowe atakubalika kama Freeman Mbowe na si kwa kupitia Mgongo wa Mwalimu...
 
Hizi Rumours zilikuwepo long time tu...Sasa kwanini Kevo kazianzisha sasa hivi ndio swali.

Suala sio kwa nini nimeileta hii mada tena suala ni kwamba nilikwisha isikia hapo nyuma kidogo kama two or three years nika ignore lakini sasa nimesikia tena ndio maana nikauliza na kama Wakuu wengine wanavyodai nao wanakataarifa kama hiki kwa hiyo kama wanavyodai lisemwalo lipo kama halipo laja.
 
mtoa mada anachanganya, freeman alipewa jina hili kwa kuwa alizaliwa 1961, baada ya uhuru wa TANGANYIKA. freeman ni mtoto wa mzee aikaeli mbowe. mtoa mada anazunguza mambo ya mwalimu kukaa kwa marealle. mareale na mbowe nitofauti kabisa. mbowe anatoka machame, marealle anatoka marangu! kama mwalimu alikaa kwamarealle na aka-misbehave kwa mke wa mareaale basi aggrey mareaale ndo tunda la hiyo adabu mbaya ya mwalimu na mke wa mareaale

msisahau kuwa kanisa katoliki limeanza mchakacho wa kumtangaza mwalimu ni nyerere kama mtakatifu. habari au tetesi kama hizi, zitaufanya mchakacho huo uwe mgumu zaidi
 
Hamna nililolichanganya.Nilichofanya ni kuandika ninachojua sasa hayo ya kukaa kwa Marealle wewe ndio unalileta labda you are also trying to question illigetimacy ya Aggrey lakini mimi I didnt ask about that.
Na suala la huo mchakato I doubt to the highest degree if they will get anywhere.
 
Huku ni kumvunjia heshima mama yake Freeman Mbowe kuwa alikuwa haiheshimu ndoa yake .

Huku ni kumvunjia heshima Mwalimu kuwa alikuwa haheshimu hata ndoa yake,na pia ni kuidhalilisha familia ya Mwalimu.

Haina maana mtu serious kuweka vitu kama hivi kwenye mtandao eti amesikia ,hivi ukisikia kuwa wewe sio mtoto wa fulani utaweka hapa ili watu wajadili na kukuambia kuwa wewe ni mtoto wa huyo fulani?
 
mtoa mada anachanganya, freeman alipewa jina hili kwa kuwa alizaliwa 1961, baada ya uhuru wa TANGANYIKA. freeman ni mtoto wa mzee aikaeli mbowe. mtoa mada anazunguza mambo ya mwalimu kukaa kwa marealle. mareale na mbowe nitofauti kabisa. mbowe anatoka machame, marealle anatoka marangu! kama mwalimu alikaa kwamarealle na aka-misbehave kwa mke wa mareaale basi aggrey mareaale ndo tunda la hiyo adabu mbaya ya mwalimu na mke wa mareaale

msisahau kuwa kanisa katoliki limeanza mchakacho wa kumtangaza mwalimu ni nyerere kama mtakatifu. habari au tetesi kama hizi, zitaufanya mchakacho huo uwe mgumu zaidi

Cha muhimu ni watu waweke data kwani ni kweli Mbowe anafanana sana na Makongoro Nyerere.
Hizi si habari za kupuuziwa...Na kama huyo mtoto wa Marealle na yeye pia ni mtoto wa Mwalimu..Basi siwezi kushangaa kwani mwalimu na yeye alikuwa mpigania UHURU.
Tatizo hakusikiliza ushauri.
 
Huku ni kumvunjia heshima mama yake Freeman Mbowe kuwa alikuwa haiheshimu ndoa yake .

Huku ni kumvunjia heshima Mwalimu kuwa alikuwa haheshimu hata ndoa yake,na pia ni kuidhalilisha familia ya Mwalimu.

Haina maana mtu serious kuweka vitu kama hivi kwenye mtandao eti amesikia ,hivi ukisikia kuwa wewe sio mtoto wa fulani utaweka hapa ili watu wajadili na kukuambia kuwa wewe ni mtoto wa huyo fulani?

Kieleweke hizi rumours zilishaleta mtafaruku mkubwa sana hapa jf na member wengi sana walielekea kuamini hilo la kuhusu Mbowe kuwa Nyerere.
 
Kevo,

..Freeman Mbowe ni Mchaga wa Machame, wakati Mangi Marealle anatokea Marangu.

..hii habari ingekuwa na uzito kama ingetolewa na Mangi wa jamii ya Wamachame.
 
Huku ni kumvunjia heshima mama yake Freeman Mbowe kuwa alikuwa haiheshimu ndoa yake .

Huku ni kumvunjia heshima Mwalimu kuwa alikuwa haheshimu hata ndoa yake,na pia ni kuidhalilisha familia ya Mwalimu.

Haina maana mtu serious kuweka vitu kama hivi kwenye mtandao eti amesikia ,hivi ukisikia kuwa wewe sio mtoto wa fulani utaweka hapa ili watu wajadili na kukuambia kuwa wewe ni mtoto wa huyo fulani?

Una taarifa Mama Nyerere na Mumewe walishawahi kuachana mpaka kuombwa na askofu kurudiana ama unaongea tuu!
Na ni wangapi wanasikia mambo wanakuja kuuliza humu JF hawaulizwi?ama ni kwa sababu hii topic inakukera?
 
I suggested Mods close down this topic it is not doing us any good other than anger.
 
Mzee wa watu alipaita Dar-es-salaam "Rumorville"

Tusijipatie hiyo status kirahisi rahisi hapa in the Jam.
 
..hivi mbona masuala ya John Kennedy na Bill Clinton yanajulikana na bado watu wanawaheshimu kwa rekodi ya kazi zao?

..Watanzania tufike mahali tu-mature na kuweza kuyazungumza mambo hayo kwa uwazi.

..hivi mnafikiri wenye ugonjwa wa kutoheshimu ndoa zao wako uwanja wa fisi na mtaa wa ohio, lakini magogoni hawawezi kufika?
 
Huku ni kumvunjia heshima mama yake Freeman Mbowe kuwa alikuwa haiheshimu ndoa yake .

Huku ni kumvunjia heshima Mwalimu kuwa alikuwa haheshimu hata ndoa yake,na pia ni kuidhalilisha familia ya Mwalimu.

Haina maana mtu serious kuweka vitu kama hivi kwenye mtandao eti amesikia ,hivi ukisikia kuwa wewe sio mtoto wa fulani utaweka hapa ili watu wajadili na kukuambia kuwa wewe ni mtoto wa huyo fulani?

Haya mambo ya utata wa watoto kuwa wa nani yako sana tu hata hapa USA kuna watu wana uhusiano wa damu kwani viongozi wakuu wa nchi hii ya USA walifanya mapenzi na watumwa wao ambao walikuwa ni wanawake weusi kutoka Afrika!

Hamjuwi kuhusu COLLIN POWELL?

Huyu naye inasemekana ni mtoto wa mmojawapo wa marais wa USA!

Sasa hili la kusema kuna watu wanavunjiwa heshima hallina mantiki sana.
 
Nashukuru kwa kulitambua hilo ndio maana sikuona shida to question that coz kwenye nchi za wetu they question to know na wala sio kumvunjia mtu heshima.Hapo ninaomba wote tuelewane.Nia yangu haikuwa kumvunjia Baba wa Taifa heshima nina mheshimu na kudhamini kwa kazi zake zote na juhudi zake zote za kulijenga taifa hili.

Na kama mtu yeyote ameshawahi kuona post yangu yeyote inayomhusu baba wa taifa kwa njia moja ama nyingine I have always treaured his contributions.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom