Kevo heshima mbele....
Zile reply posts za mwanzo ziliashiria kukumbusha kile kilichopo hapa ukumbini, kuwa kila mwenye kujaribu kuhusisha jambo lisilopendeza kwa Mwalimu JKN atashambuliwa na wajuzi wa uchambuzi humu ndani kwa namna isiyofanana na the same jambo likielekezwa kwa asiyekuwa yeye.
Pia kuna dokezo katika moja ya posts hapo juu kuwa ule mpango wa kumfanya mtakatifu bado upo, na humu kuna wadau ama waliopo karibu na hao wadau wa huo mpango, kwa hiyo kajaribu kuleta tetesi ambazo zitapelekea kuongeza upinzani uliopo juu ya hilo haliwezi kuvumiliwa hata kidogo.
Ninachopenda kushauri ni kuwa Mwalimu JKN ni binadamu, amepatia na amekosea, na alikuwa ndio nahodha wetu kwa miaka mingi tena ya mwazo ambayo mazuri yake yaliweka dira ya muelekeo nzuri wa nchi yetu pia mabaya yake kwa namnamoja ama nyingine yametuathuri pia. Sasa ikiwa tusithubutu kujua baadhi ya vitu ambavyo tunahisi vina impact fulani kwetu, kwa mfano hili la Mbowe, ni kutudumza kifikra.
Nina hakika, hivi ilivyojulikana kuwa lile jengo la BILICANAS (LINAMUHUSU Freeman MBOWE) alilitoa Nyerere kumpa Mzee Mbowe babake Freeman, mijadala kuhusisha hili na ufisadi ingekuwa mingi sana hapa, lakini kwa vile yamuhusu BABA WA TAIFA marufuku kuzungumzia.
Kujulikana kwa hili kungesaidia mambo mengi sana,na huenda siri ya huu unafiki wa vyama vya siasa TZ ungewekwa wazi.
Nyanja zote serikalini twajua ni something... TANZANIA LTD, hadi jeshi.....zile KANALIZ na LUTENI KANLIZ nyingi ni watoto wa zile DARASA la SABA GENERALS, na kwingine kwingi... bora tusiendeleze huu mjadala maana tusijejua kuwa huu unafiki unaoitwa upinzani pia NI.........LTD,