Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

Biography of Mpongo Love | Kenya Page Blog

Wasifu wa Mrembo mwandada wa wakati huo Mpongo Love
Asante mkuu kwa taarifa ulizotuma hapa,hii chain iliyokuwa inaendelea kati ya hawa jamaa ilikuwa hatari na hii haimtoi Frànco ktk kundi la waliokufa kwa Sida.

Franco alifariki October 1989,Mpongo Love January 15/90 mentor wake kihoro kikamtoa January 21/90.nimejifunza mengi sana hapa.
 
Asante mkuu kwa taarifa ulizotuma hapa,hii chain iliyokuwa inaendelea kati ya hawa jamaa ilikuwa hatari na hii haimtoi Frànco ktk kundi la waliokufa kwa Sida.

Franco alifariki October 1989,Mpongo Love January 15/90 mentor wake kihoro kikamtoa January 21/90.nimejifunza mengi sana hapa.
naam
 
Mkuu Lucas Mobutu sina nia ya kukosoa bandiko lako but hapo kwenye wimbo Candidat Na Biso Mobutu naomba niongeze nyama kidogo kuhusu huu wimbo.

Baada ya kutoa wimbo wa kumtuhumu rais Mobutu kwa uongozi wake wa mkono wa chuma iliamriwa Frànco akamatwe atiwe jela,kisha Mobutu akampa options mbili either atumie kipaji chake kutunga wimbo mzuri utakaomfanya azidi kupendwa na wananchi wake au aendelee kukaa jela{tukumbuke huu wimbo wa kum-dis Mobutu ulipokelewa vizuri sana na masahabiki wa Frànco so nikama aliambiwa atafute kitu cha kuyafuta yale mawazo mabaya kwa wananchi kisha apandikize mazuri yanayomuhusu yeye}.

Ndipo alipotunga huu wimbo canditad na biso Mobutu na inasemekana Mobutu alipousikiliza kwa mara ya kwanza tu aliamuru Frànco atolewe jela upesi sana na apelekwe ikulu ambako ilifanyika sherehe ya kukata na shoka kwa muda wa siku tatu kisha Mobutu akataka ampe Frànco madaraka ya kisiasa ambapo aliyakataa akaomba apewe ruhusa ya kufanya shughuli zake za kimuziki kwa uhuru tu.

Copied.......
jf kuna madini ya maana,blessed jf
 
Uzi huu una mengi kuhusu Franco bahati mbaya kuna mengi kiasi fulani hayako sawa. Nitaupitia wote na nitaweka yale ninayo yafahamu. By the way leo 19.03.2018 Le Vieux and Grand Poete Papa Simon Lutumba alias Simaro Massiya Lutumba aamefikisha miaka 80 na anastaafu rasmi kupiga muziki. Huwezi uakaongelea mziki wa Franco bila kuangalia mchango wa Simaro.
lete story mkuu
 
Back
Top Bottom