Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,341
Simaro ameeleza kuhusu hawa watu wawili. Mobutu alikuwa fanatik (shabiki) wa Franco na OK Jazz hivyo alipopata uraisi aliendelea kutumia fursa hiyo na sherehe zake nyingi alitumbuizwa na Franco. Franco nae alitumia fursa hiyo ipasavyo. Ni kweli pia bendi nyingi zilipata fursa kama hiyo lakini OK Jazz walikuwa mbele zaidi.Ninachokiona hapa kwenye bandko lako Mkuu,Franco alikuwa akicheza na akili za Mobutu Seseseko Wa Nzabanga na alifanikiwa!