DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
- Thread starter
- #81
Daaaaaa nilidhan umeogopa kuambiwa mida ya wanga
Daaaaaa nilidhan umeogopa kuambiwa mida ya wanga
sivyo mkuu...hili ni suala lingine la uwajibikaji..you should be responsible kama mke na kama mume..unapochukua hela na kuzitumia kwa njia zako mwenyewe lazima uwe na njia ya kuregesha zile hela.pamoja na hayo inategemea na hali halisi ya familia.
Familia inaweza kuwa na malengo ya kifedha ambayo yanahitaji accountability kwa wanandoa wote wawili...kama mmeweka
lengo fulani halafu mkashindwa kulifikia kwa sababu mmoja wenu alitumia hela kinyume na
mipangilio je hapo kusiwe na kuhojiana?..
kwa hiyo kila mtu atumie hela zake kama anavyopenda bila kujali kesho kisa tu ana kipato?
Mkuu , Nilkuwa najaribu kupata mawazo mbadala kidogo.Kumbe unajua kbsa ulikuwa unatega watu. Umesema vzr, watu wanandoa lazima wakae chini na kupanga malengo yao ya baadae kea ajilibya familia yao. Na kwa kufanya hivyo lazima makubaliano yawepo kwenye matumizi ya vipato vyao. Tunapoongelea uhuru sio uvujaji wa vipato. Naomba mwenye kuweza kuliweka vzr asaidie ili tusipotoshe/kubatilisha dhumuni la ndoa
Sawa mkuu, nmekufahamu haposivyo mkuu...hili ni suala lingine la uwajibikaji..you should be responsible kama mke na kama mume..unapochukua hela na kuzitumia kwa njia zako mwenyewe lazima uwe na njia ya kuregesha zile hela.
Na umeyapata haswaaa au vipi?Mkuu , Nilkuwa najaribu kupata mawazo mbadala kidogo.
kuna furaha ya aina fulani unayoipata kama mke unapomuuliza mumeo ruhusa ya kufanya jambo fulani..hivyohivyo,kuna furaha ambayo mwanamume hupata wakati ameulizwa ruhusa na mkewe kabla ya kufanya jambo fulani...
Yep yepNa umeyapata haswaaa au vipi?
GudYep yep
Nmepata
Mida ya wanga mkimaanisha nini??Daaaaaa nilidhan umeogopa kuambiwa mida ya wanga
Wale wenzetu wanaopaa na nyungo angani , ndio muda wao wa kazi huuMida ya wanga mkimaanisha nini??
Nimecheka km mazuri, hv mkuu Cepha yuko zaid ya mmoja eeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mida ya wanga mkimaanisha nini??
eeeeeeehNimecheka km mazuri, hv mkuu Cepha yuko zaid ya mmoja eeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
i was considering mwanamume mwenye utu..na ndio maana tunazungumzia uhuru wa mwanamke maana kama ni mume katili hata huo uhuru mwanamke kuupata ni balaaSawa ila defense yako imeegemea upande mmoja..
Ofcourse mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni sawa kabisa kukuheshimu mumewe nkazalika nkazalika nisawa kabisa ila hata nyie wanaume lazima tuwape limit. Sio kisa Wee ndo head ndo unyanyase mwanamke not good na Mungu anawaona.
Ndo nilitaka Mahondaw anisaidie kujibu[emoji87]eeeeeeeh
Ukimaanisha kuna multiple Id au
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo nilitaka Mahondaw anisaidie kujibu[emoji87]
Ipi sasa? Subiri majibu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
duuuuuu hio kashfa aiseeeeeh
jje's mi sijasema.. Mi nilikua namtania tu labda kama ndo unamwambia ivo cephalocaudo mi nakutania tu!Nimecheka km mazuri, hv mkuu Cepha yuko zaid ya mmoja eeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]