Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Ila bhana kasema kwenye ndoa. Mambo ya ndoa yanakuwa magumu pale ambapo unakuwa hauko huru. Tuchukulie upande wa mwanamke huwezi hata toka na wanawake wenzako kisa mume hapendi. Duuuh maisha ya hivyo bora kuwa single kabisa
Mume analeta ubeberu enzi za umwinyi
 
Ila bhana kasema kwenye ndoa. Mambo ya ndoa yanakuwa magumu pale ambapo unakuwa hauko huru. Tuchukulie upande wa mwanamke huwezi hata toka na wanawake wenzako kisa mume hapendi. Duuuh maisha ya hivyo bora kuwa single kabisa
kumbuka mwanaume huwezi shindana nae
 
Ni kweli Uhuru kwenye ndoa ni muhimu na hufanya ndoa iwe na furaha, ila lazima kuwepo na MIPAKA, sababu kuna wengine ndo watatumia chance ya Uhuru kujihalalishia maovu yao.
 
kumbuka mwanaume huwezi shindana nae
Sina maana ya kushindana ila jmn kuwe hata na uhuru wa kukaa na wenzako. Am talking wale ambao hawaruhusiw kutoka kbsa. Ni mwiko kuonekana wako mahali wanabadilishana mawazo.
Naamin umenielewa my dear
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom