Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Hahaha Pole sana Wee mkuu halafu wewe halafu wewe unafanana na rafiki yangu mmoja hivi humu alikua anapatikana sana sana mpaka mida hii Tehteh. Sijui Yukwapi nowdays

Cc Smart911
Haa hhha mida ya wanga hii, mchana muda wa kazi, hatuwez kuwa humu.
 
can you imagine una mke ambaye anarejea nyumbani wakati wowote ama anatoka wakati wowote sababu ana uhuru??.ifahamike kuwa mwanamke yeyote aliye na ustaarabu na akili zake muda wote hutegemea maamuzi ya ndoa yafanywe na mume.si ujinga wala kujishusha ila yapaswa kuwa hivyo..maana mwenyezi mungu alimpa mwanamme uongozi na mke awe msaidizi wake katika maswala ya ndoa...hivyo,unapompa mkeo uhuru kwa lolote ina maana amepata uwezo wa kufanya maamuzi yoyote bila kukushirikisha wewe mume..it cant work in any way because in most cases freedom raises the status of individuals to the same level..hivyo mnakuwa sawa to the extent that anyone can make decisions without necessarily consulting the other..sisemi uhuru asipewe mwanamke..ninachosema ni kuwa uhuru wake uwe na heshima kwa mumewe wala asiutumie uhuru huo bila hekima...
 
pamoja na hayo inategemea na hali halisi ya familia.
Familia inaweza kuwa na malengo ya kifedha ambayo yanahitaji accountability kwa wanandoa wote wawili...kama mmeweka
lengo fulani halafu mkashindwa kulifikia kwa sababu mmoja wenu alitumia hela kinyume na
mipangilio je hapo kusiwe na kuhojiana?..

kwa hiyo kila mtu atumie hela zake kama anavyopenda bila kujali kesho kisa tu ana kipato?
 
can you imagine una mke ambaye anarejea nyumbani wakati wowote ama anatoka wakati wowote sababu ana uhuru... cant work in any way because in most cases freedom raises the status of individuals to the same level..hivyo mnakuwa sawa to the extent that anyone can make decisions without necessarily consulting the other..sisemi uhuru asipewe mwanamke..ninachosema ni kuwa uhuru wake uwe na heshima kwa mumewe wala asiutumie uhuru huo bila hekima...

Sawa ila defense yako imeegemea upande mmoja..
Ofcourse mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni sawa kabisa kukuheshimu mumewe nkazalika nkazalika nisawa kabisa ila hata nyie wanaume lazima tuwape limit. Sio kisa Wee ndo head ndo unyanyase mwanamke not good na Mungu anawaona.
 
pamoja na hayo inategemea na hali halisi ya familia.
Familia inaweza kuwa na malengo ya kifedha ambayo yanahitaji accountability kwa wanandoa wote wawili...kama mmeweka
lengo fulani halafu mkashindwa kulifikia kwa sababu mmoja wenu alitumia hela kinyume na
mipangilio je hapo kusiwe na kuhojiana?..

kwa hiyo kila mtu atumie hela zake kama anavyopenda bila kujali kesho kisa tu ana kipato?
Kumbe unajua kbsa ulikuwa unatega watu. Umesema vzr, watu wanandoa lazima wakae chini na kupanga malengo yao ya baadae kea ajilibya familia yao. Na kwa kufanya hivyo lazima makubaliano yawepo kwenye matumizi ya vipato vyao. Tunapoongelea uhuru sio uvujaji wa vipato. Naomba mwenye kuweza kuliweka vzr asaidie ili tusipotoshe/kubatilisha dhumuni la ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom