Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Uhuru ni muhimu katika mahusiano

kesho ni weekend..wacheni kulala mapema...mwambie cephalocaudo alete mada nyingine..mji wa baltimore ni saa 18:35 pm
Sikutegemea kulala mapema, sema Mahondaw aliniwekea valium, nkapoteza network bila kujijua.
 
Tafsiri ya ndoa ni ipi mkuu ?
Ukishaijua tafsiri ya PINGU ZA MAISHA.
pamoja na MWILI MMOJA basi utagundua tu makosa ya huyo jamaa.
Wengi wanaitafsiri ndoa kwa aina tofauti kutokana na imani zao.
Lakini kwaujumla ndoa ni Democrasia yenye mgawanyo wa majukumu pamoja na muingiliano wa kiutendaji.
It means kwamba kila mmoja ana majukumu yake, lakini linapokuja suala la kiutendaji basi muingiliano upo tena ndio unaoleta mshikamano.
Sasa ndani ya muingiliano huo ndipo unakutana na mawasiliano pamoja na m'badilishano wa taarifa.
Tuliza kichwa uelewe taratiibu,
as I told you before ndoa ni demokrasia na demokrasia ni usawa.
Sasa popote pale unapofanya jambo lolote mfano kununu bidhaa, ni wajibu wako kumjulisha mwenza wako na endapo hakufurahishwa nacho basi ni mazungumzo ya demokrasia ndio yanachukua nafasi, lakini watu wengi wanatafsiri ndoa kama ni udikteta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom