Uhuru ni muhimu katika mahusiano

Uhuru ni muhimu katika mahusiano

ijulikanavyo mwanamke ukimpa uhuru hasa ule wa kuwa master wa kila kitu,hapo ndo yale majina mara dume kaptura,dume suruali yanatokea
 
Uliopitiliza ni ule wa kumuachia tuu afanye anachotaka kiwe kibaya au kizuri unamuacha tu

Wenye mipaka ndoivo you limit bwana hapa nononono not to that extent .
Thanks

Cc Smart911
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hapo nimekupata , kumbe wa mipaka ndio ule wa kuambiana WOCHI IT, BE CAREFURI
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeh hapo pabaya hapo teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ajajajajajajajajajajaja .
To me I see it's not good and health kwanza ile kuzoeana au kuwa na ukaribu na ex.
Dislike dislike dislike
Nadhani inabidi waweke hio comment kwenye vyeti vya ndoa.

MAZOEA NA MA EX ZAKO MARUFUKU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom