gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
walijua wadeal na warwanda au waganda wameshika adabu nyangau hawa
Kumtusi kiongozi wa nchi siyo uzalendo, kuna watu wana makengeza hatusemi na wazinzi hatusemi tafadhali.
mbona nyinyi mnaongoza kwa kuwa na maraisi wenye sura mbaya na za kutisha sisi hatusemi?!!.
haya pokea zawadi yako hiyo kamuonyeshe mkeo.
View attachment 236733
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
Na musijaribu tena huu upuzi watanzania. Tuheshimiane kama ndugu na dada.
Wee unajua mahali kuna ma million ya$$$$. Musituletee michezo na pesa zetu
Hapo ndipo tutakosana. Tieni biii mutengeneze pesa zenyu. Sisi tuko tayari kuwafundisha chochote munachotaka ili muwe wanabiashara bora kama sisi.
Mambo ya pesa tuheshimiane. Ni kama vile kwenye sinema jamaa akijaribu kuchezea pesa za big chapo, style unaharibu biashara, big chapo humtumia maboys.
Hapa unajua Uhuru alialimwita JK kando akamwambia sasa Kikwete ni ufala gani huu tena???
Hizo ndege zirudi angani haraka boss, ama mambo haitakuwa poa kati ya relationship yetu .
Ndo hapo ninapomhitaji Lowassa kwa mvua au kwa radi.
Super power kwenye kifamilia chako.Angefanya nini yeye?
Kenya ni regional super power sisahau... :eyebrows:
When I saw JK struggling hard to have a talk with UK I knew something was boiling. Hahaha!!! Who's laughing now.
Unaandika husichokielewa. Tanzania imeshaondokana na hiyo sera ya majority ownership kitambao. Sheria zetu zinaruhusu (na ni kwa mujibu wa kanuni za kimataifa chini ya ICAO) kudesignate shirika la ndege la nchi ambalo principal place of business ni Tanzania na limesajiliwa na kusimamiwa kwa sheria za Tanzania. Kenya wanafanya hivyo kuilinda KQ ambayo kwa ujumla inawanyonya abiria wa Africa mashariki kwa kukosa ushindani na kuwatoza gharama zisizo za haki. Hivi kwa nini waliruhusu shirika la ndege la uganda wakati linamilikiwa kwa asilimia 100 na mtu wa nje? Ni nini hofu yao ya fast jet?Let us looking at things perspectively and factually;
1). Fastjet is not majority owned by Tanzanians
2). Fastjet appointed a nominated advisor in December last year, Enterprise Growth Market Advisors Ltd to fasttrack 51% ownership by Tanzanians.
3).KCAA noted the lack of substantial local ownership which was against the spirit of BASA, and asked Fastjet to remedy the same before the second hearing.
4).Fastjet is still in the process of ensuring local ownership in line with BASA as it eyes the lucrative Kenyan routes.
So untill the majority ownership is sorted out Fastjet will not be allowed access to JKIA. So our Tanzanians brothers should be thanking KCAA for this. Some elements in GoT wanted to blackmail KCAA to give Fastjet landing rights using all manner of scapegoats from tour operators to Kenya Airways, but they have been kamikazed.
Before you diarrhoea with anti–Kenya sentiments, hold your leaders and technocrat accountable for their selfish fronting of Fastjet as Tanzanian designate Airline without even majority ownership by Tanzanians.
On a light note, advise Fastjet to be issuing their communiques in Kiswahili so that you can understand issues easily instead of ranting aimlessly for a private Airline, support Precision and maybe we can sympathise.