Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Ila watoto wa kike kweli Mwalimu wenu kipofu, hivi inakuwaje kwanza unakuwa na mahusiano na kijana mjangalia Mpira ?
Mkuu ina maana waangalia mpira hawapaswi kupendwa? Pia asilimia kubwa ya watanzania ni washabiki wa mpira sasa kweli binti akichagua kwa kigezo hicho si anapunguza Sana uwezekano wa kupata mwenza?
Halafu issue ni jamaa hampendi tu hampendi huyu dada
Uko conservative Sana mkuu
 
Namini nimekubali..Sipendwi [emoji3][emoji3][emoji3]
Maana Mapenzi yalomurua hayajawai kuwa hivi ....
Kucheeka Sana kilio kipo karibu...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Doooh
Ila sitoacha kuwa muaminifu na kufanya yaliyo mema coz of this.
Sometimes we win.. sometimes we loose... But our faith remains the same

Wanasema kama hakuna waaminifu, kuwa mwaminifu. Kuna wengine wakishaumizwa ndio wanaona ni nafasi ya kujiachia kufanya upuuzi wakidhani wanakomoa walipoumizwa kumbe sio.

Muombe Mungu utulivu ujiponye maumivu taratibu yataisha na nadhani hakuna haja ya kumuaga kuanza kumwambia sijui unaona muachane tu kwa sababu ya 1,2,3. Akiamua kukuchezea atakuwin kwa kuwa anajua udhaifu wako cha kufanya punguza kumtafuta ukimya utakusaidia sana na uwe busy na mambo yako utamsahau kabisa. Ila umependa sana ulizama mazima kwa mtu ambae hakustahili kabisa.
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Hakuna mpenzi hapo, umekutana na watu wenye style ya hit and run , pole
 
Hahahah jamaa yuko vizuri sana 😂😂😂 hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba ila kwa huyu baharia hutachomoka hapo. Sijui kwanini huwa mnapendaga abusers nyie watu ila polite guys kwenu ni mazoba.
Mkuu mbona kama umefurahia Sana
Nimecheka sana
 
Mkuu ina maana waangalia mpira hawapaswi kupendwa? Pia asilimia kubwa ya watanzania ni washabiki wa mpira sasa kweli binti akichagua kwa kigezo hicho si anapunguza Sana uwezekano wa kupata mwenza?
Halafu issue ni jamaa hampendi tu hampendi huyu dada
Uko conservative Sana mkuu
Tafakari kwa makini.
 
Wanasema kama hakuna waaminifu, kuwa mwaminifu. Kuna wengine wakishaumizwa ndio wanaona ni nafasi ya kujiachia kufanya upuuzi wakidhani wanakomoa walipoumizwa kumbe sio.

Muombe Mungu utulivu ujiponye maumivu taratibu yataisha na nadhani hakuna haja ya kumuaga kuanza kumwambia sijui unaona muachane tu kwa sababu ya 1,2,3. Akiamua kukuchezea atakuwin kwa kuwa anajua udhaifu wako cha kufanya punguza kumtafuta ukimya utakusaidia sana na uwe busy na mambo yako utamsahau kabisa. Ila umependa sana ulizama mazima kwa mtu ambae hakustahili kabisa.
Ndo hivyooo
 
Pole afadhali ungeendelea na yule aliyekua anakutaka umfulie Nguo huku hajakuoa alikua anatengeneza mazingira ya ww kua Mke bora kwake, sasa hapo umekutana na wale wanaojiita mabaharia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Yule wakufulia nguo jamani mnapenda Sana kunikumbusha...
 
Back
Top Bottom