Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.