Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

I guess... It's my fault to love back where I thought I was loved..
Nimemsamehe tu.... Mapenzi hayalazimishwi.... Sina hata kinyongo.. japo itanichukua muda maumivu kuisha
Yeah nafsi huhangaika sana esp.ukiwa umependa kweli mahali flani. Ila utapona tu wala usijali ni swala la muda tu huna haja ya kuweka kinyongo.
 
KWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...

Naona hapa nijiongeze tu
Jamaa kashapiga mzigo huyu, yani hiki sio kiburi cha mtu ambaye hajala mbunye bado😂
Ana majibu makavu sana yani.

Kuna manz nae alikuwaga mlalamishi sana nilimuachaga kwa style hio hio. Wahuni sio watu
 
Ukijali sana unakua kero.

Mi sipendagi mwanamke anaenijali sana yan tutaachana kesho asubh kama mwanamke ana hiyo tabia.
Utakuwa Konde boy mjeshi tu 😂 raha ya mapenzi upate mtu wa kukujali bana. Simu za kila saa ni muhimu sana njonjo za mahaba.
 
Jamaa kashapiga mzigo huyu, yani hiki sio kiburi cha mtu ambaye hajala mbunye bado[emoji23]
Ana majibu makavu sana yani.

Kuna manz nae alikuwaga mlalamishi sana nilimuachaga kwa style hio hio. Wahuni sio watu
Navyokwambia SIJAWAI danganywa kiasi hiki..yaani Ni ule uongo ambao unakuja kuona baadae Sana.

Kuna Watu waongo wallahi[emoji3][emoji3][emoji3]...Noma Sana
Mungu amuongoze tu aachane na hi Tabia ya kucheza na hisia za Watu...

Coz HE PLAYED HIS CARDS WELL... nimpe TU kong'ole
 
Naelewa sana unachokiongea. Hapo changamoto mmekutana watu wawili tofauti na mwenza wako hayuko tayari kubadilika na kuendana na wewe.
Mnapokua kwenye mahusiano inatakiwa kila mtu awe tayari kubadilika kwa ajili ya mwenzake. Kujitoa kumfurahisha mwenza wako kwa vitu ambavyo vya muhimu kwake hata kama sio kipaumbele kwako. Hakuna mapenzi bila "sacrifice" lazima wote muwe tayari kusjitoa kwa mwenzake.
Kupigiana simu kila baada ya muda ni mapenzi nayo, ni dalili mtu unapendwa na mwenza wako anakufikiria. Kwa wengine wanaweza kuona ni dalili ya kubanwa ila sivyo.

Ushauri: Muite sehem kaa naye chini na mueleze kinagaubaga. Kama kweli anakupenda atabadilika kwa ajili yako.
Mtu anaekuona kero anaanzaje kubadilika kwa ajili yako? Mtu hakutaki utam convince kwa kipi!?
 
Mtu anaekuona kero anaanzaje kubadilika kwa ajili yako? Mtu hakutaki utam convince kwa kipi!?
Namini...nashangaa mtu Ana pull away..Wewe unalazimisha Kumkimbilia..Huko Ni kupoteza muda na kujiongezea maumivu.

Kuna Watu watofauti Sana Duniani khaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]SIJAWAI kutana na Sampuli hii
 
Navyokwambia SIJAWAI danganywa kiasi hiki..yaani Ni ule uongo ambao unakuja kuona baadae Sana.

Kuna Watu waongo wallahi[emoji3][emoji3][emoji3]...Noma Sana
Mungu amuongoze tu aachane na hi Tabia ya kucheza na hisia za Watu...

Coz HE PLAYED HIS CARDS WELL... nimpe TU kong'ole
Alikuaminisha atakuoa nini? Ila ma baharia Mungu atusamehe tu.
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Umeanza kuzama soon utaanza hata kufua kwa hiari
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]....Umenichekesha Sana..
Wewe wadhani mapenzi yana adabu basi, kuna sehemu unaweza kamatika ukfanya mambo yote uliyokuwa unaona ya kifala. Mimi kuna sehemu niliwahi kukamatika mpaka leo siamini kama nilikuwa mimi maana nilikuwa zaidi ya lofa Wallah
 
We Acha TU.... Yaaani, tangu 2016 ndo Mara ya mwisho kuumia na Mahusiano hivi...nlikua nshasahau kabisa.
 
Back
Top Bottom