Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

Acha ubaguzi we kenge usikute Babu Yako ni mhutu wa Burundi halafu unaanza Leta kejeri za kijinga Kwa race za wenzio halafu Kama hujui Kuna jamii za kigeni Kama Washihiri kutoka Yemen walifika pwani ya Afrika mashariki Karne nyingi nyuma kabla hata Wabantu hawajafika Toka huko Afrika magharibi
Kiufupi jamii nyingi zilizopo hapa bongo ni wageni tu tukianza fuatilia Sana usikute hata wewe mtoa mada ulitoka Kwa Zulu Natal umekua mngoni au Huko Oudogoudu central Afrika

Acha ubaguzi shwain!
 
Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.

Jamii ya kisomali wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipotoka. Wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao.

Sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya. Nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.
Waanze na nyataka yako kwanza
 
Katika vitu sipendi maishani mwangu ni ubaguzi wa aina yoyote ile. Umbwa wewe
 
Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.

Jamii ya kisomali wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipotoka. Wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao.

Sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya. Nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.
Hii haina mantiki.Polisi watuambie s Chuki ya Hamza kwa polisi ilisababushwa na nini? kuna yale maneno aliyokuwa anayasema kuhusu Siro,Yale nayachukulia kwamba aliyaongea akiwa tayari akili zimesha mruka.Hapa ni serikali ichunguze watupe taarifa.vinginevyo haya maneno yanayozumzumzwa kwamba polis walimfanyia dhuruma yatabakia mioyoni mwetu
 
duh...mbona harufu ya ubaguzi...hivi unakumbuka wiki kama sio miezi michache iliyopita kuna mtu alimdungua mtu na risasi naye akajidungua wakiwa baa...jee nayo ifuatiliwe ni kabila gani na wahukumiwe kulingana na kabila?
Hapo ndo utaona waafrika tunavyo baguana, halafu tukibaguliwa na wazungu kelele kama zote, na tutataka ulimwengu mzima ujue
 
Hii sio suala la usomali wala nini maana tuna watanzania wenzetu wenye asili ya kisomali ni watu wema na bora kabisa kwenye jamii

Huyu hamza historia inaonyesha aliwahi kwenda kusoma nchi mojawapo ya kiarabu yawezekana ndiko alikofundishwa imani kali na mafunzo ya kijeshi

Najua kuna watanzania waswahili wa kawaida huwapeleka watoto wao nchi za kiarabu kwa lengo zuri tuu la kujifunza dini lakini wameshafuatilia package ambayo vijana wao hupewa?

Hili ni jukumu letu sote kuangalia mienendo ya vijana wetu, na wageni wanaokuja kwa kuzuga ni watoa misaada mahusiano yoa na vijana wetu

Ikiwezekana, kwakuwa hapa nchini kuna waalimu wa dini waliobobea basi ili kuepuka kuoteza vijana wetu wasomee hapa hapa.

Sasa hivi tunachukua kama mzaha, mara wanaharakati na wanasiasa uchwara wanalichukua na kulipindisha kama kiki lakini amini amini nawaambia tabia hii tukiendelea kuichekea hata wewe unayeshabikia kikinuka huwa hawamjui mtu wanaweza kuleta madhara kwa kila mtu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Si kweli mkuu Mwanamke wa kisomali zaidi ya ndoa huwezi mpata labda kwa bahati nasibu
Anafikiri wasomali, warabu nk ni wakufunua funua tu uchi kwa kila mtu kama wabantu. Pumbavu sana.
Wasomali ni watu wenye maadili kuliko hata sisi wabantu.
Huko kongo, Nigeria,msumbiji wanaoleta fujo na kuua wayu ni wasomali ? Si ni wabantu wenye pua kubwa kama sisi waswahili.
Hspo kenta kuba watu wanaitwa mungiki je ni wasomali, vipi panta road ni wasomali ?
Kuna vikundi vingi sana Afrika vinavyoua watu vikiongozwa na wabantu.
 
Back
Top Bottom