Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha.
Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.

Jamii ya kisomali wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipotoka. Wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao, watafutwe popote walipo ktk nchi hii.

Sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya. Nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.

oparetion hii ikimkosa bashe sitaitambua
 
Udikteta wa Mohammed Siad Bare ndio uliosababusha nchi ya Somalia kuparanganyika kabisa na kuwa taifa lililoshindwa
 
Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha.
Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.

Jamii ya kisomali wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipotoka. Wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao, watafutwe popote walipo ktk nchi hii.

Sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya. Nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.
Mtu kazaliwa na kukulia bongo unaimuitaje msomali ? Ni mtanzania Kama ulivyo wewe Tu, wote mna haki S
 
Huyu Ana ubaguzi Sana Kama ni ivyo hata blacks wowote wanapofanyaga mabaya nchi za wengine warudishwe kwao.
Pia wale Askari waliomuua Akwilina wafuatiliwe wajulikane ni kabila gani ili warudishwe kwao mkoani watoke dar. So dunia ni moja mkuu
Uko sahihi mkuu , inabidi waondolewe dar
Onyesha nilipombagua.
Si umesema waondolewe warudishwe kwao, je ww unaishi kwenye mkoa wako WA asili ? Maana inawezekana unaishi mikoa ya watu wengine
 
Mtu kazaliwa na kukulia bongo unaimuitaje msomali ? Ni mtanzania Kama ulivyo wewe Tu, wote mna haki S
kuna historia ya kijana mmoja wa kisomali ambaye alienda Uingereza na kuoa huko, akaanza taratibu za kutafuta uraia wa Uingereza.
Idara ya uhamiaji ilifuatilia rekodi zake na ilibainika kuwa kijana huyo alikuwa na matukio ya kigaidi huko kwao somalia na alikuwa akitumiwa na kikundi cha Alshababu.
baada ya kubaini hivyo Serikali ya Uingereza bila ajizi ilimrudisha kwao somalia.
Vijana wengi wa kisomali wana uhusiano direct or indirect na kikundi cha kigaidi cha Alshabab.
Jambo la Msingi ni muhimu kwa Idara ya Uhamiaji kuto kutoa Uraia kama njugu!! lazima tujiridhishe ipasavyo kwa yeyote yule anaye omba uraia.
 
Japo siungi mkono mawazo yako, wasomali, waethiopia hata wasudan ni wabaguzi wa kunuka. Wanajiona wao si waafrika. Nchini Somalia ndugu zetu toka Tanga wazigua wanabaguliwa sina mfano. Hivyo, kuchunguza wanavyoishi nchini ni muhimu na kuzingatia kuwa ni wabaguzi.

Mfano, ukiwaona waliokuwa nchini tangu uhuru, wanaoana wao kwa wao kama waarabu na wahindi. Kimsingi, hawana faida kwa taifa letu. Ukiona tunavyowapa hata ubunge kama vile Bashe na Rage sambamba na wabunge wa kigabacholi, unashangaa. Siku zote natamani brother Mtikila angekuwa hai huenda tungepunguza ujinga huu.
Big up sana sana mi nawajua nimeishi nao ni wabaguzi mbwa kabisa hao, wasomali hawafai na tuliwakaribisha kisa utu na ubinadamu wa Hayatti Nyerere hawana faida.
 
Muwe mnaangalia na watu wa kuwadhulumu .miaka yote tanzania tumekaa na wasomali wasifanye haya waje wafanye leo?
 
Japo siungi mkono mawazo yako, wasomali, waethiopia hata wasudan ni wabaguzi wa kunuka. Wanajiona wao si waafrika. Nchini Somalia ndugu zetu toka Tanga wazigua wanabaguliwa sina mfano. Hivyo, kuchunguza wanavyoishi nchini ni muhimu na kuzingatia kuwa ni wabaguzi.

Mfano, ukiwaona waliokuwa nchini tangu uhuru, wanaoana wao kwa wao kama waarabu na wahindi. Kimsingi, hawana faida kwa taifa letu. Ukiona tunavyowapa hata ubunge kama vile Bashe na Rage sambamba na wabunge wa kigabacholi, unashangaa. Siku zote natamani brother Mtikila angekuwa hai huenda tungepunguza ujinga huu.
Hao wote sina shida ila lile jamaa jeupe pale bungeni liloleta tozo naombea apate bld ya mwaka mzima..
 
Back
Top Bottom