Uhamiaji pitieni hapa

Uhamiaji pitieni hapa

yaani hapo ndio upeo wa akili yako ulipoishia? au kwa kuwa mtoa uzi hamshei mama? kwa taarifa yako kila dhuluma moja kwa mtanzania ni hasara kwa taifa zima we poyoyo; na bahati yako hapa siwezi kukuzaba vibao
na wewe unakuwa
Mkuu Freeland ubaguzi wa Waafrika unatokana na wao kubaguliwa kwa kiasi kikubwa sana..kwanhiyo ile hali ya wao kubaguliwa kwa miaka na miiaka inawafanya na wao kuwa na "roho ngumu" ya kubagua...Ukitaka kujua hilo,basi soma sehemu ya Quotes ya Mario Balotelli
View attachment 326548

yale meusi manyamwezi ya Zanzibar yalibaguliwa na nani?
 
Suala siyo kuajiriwa wageni, suala ni wageni kuwa na makaratasi yanayowaruhusu kuajiriwa.

Kwani Coca-Cola Kwanza ikiwa ya Mengi ndio isimulikwe na vyombo vya dola?
Wanayo makaratasi yote...n huyu mvivu analalamika tu hapa
 
Wacha uzembe wa kufikiri. Just imagine, mtanzania ni mhasibu, salary yake ni 650,000/- lkn PS wa MD ni mhindi, mshahara wake 2,650,000/-. We unaona sawa?
kwenye private sector mshahara wako ni bargaining power yako
 
Chadema muwe makini sana tena sana uchaguzi ujao mnaweza msipate jimbo lolote labda kwenu kaskazini. Watu wanaiona rangi yenu halisi sasa.
kwani hapa kuna kongamano la vyama? wewe unawakilisha chama gani arif?
 
Huelewi kitu unachoongea ndugu yangu. Ila bila shaka ww utakuwa ni kijana mmoja hvi mpuuzi sana , ambaye bado unanyonya kwa wazazi..

Haya kazana sana
acheni hasira onyesha productivity yako utalipwa vizuri
 
Jamani taarifa kama hizi serikali hususani Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na Idara ya Kazi wafanye msako wa pamoja kukamata wahamiaji haramu wapo wengi sana wanafanyakazi kwenye makampuni mbalimbali bila vibali vya serikali ni uhujumu uchumi na wizi wa ajira za watanzania wenzetu.

Wageni hawa wamekuwa na lugha mbaya sana kwetu watanzania wamekuwa wakitusema, kututukana na kutudharau kwa kigezo cha ujinga wetu na upole tulionao sasa umekuwa unatumika vibaya na wageni.

Isipokuwa hapo Coca Cola ni kweli kuna zaidi ya wageni 17 ambao wanalipwa mishahara yakutisha, pengine nitoa angalizo hili huyu ndugu aliyetajwa kuwa ni Mkenya hapana sio, Otaigo ni mswahili wa Tarime kasomea nchini Kenya kuanzia ujana wako kwa hiyo lafudhi ya kikenya imemwathiri, hao wengine ni sawa kabisa inabidi wakamatwe na kufukuzwa nchini.
Ninavyofahamu mimi sheria ya uwekezaji inamtaka mwekezaji asiajiri wageni zaidi ya 5 lakini Coca wamezidi wapo 17!! ni ajabu sana, hebu vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kwa weledi mtafukunyua mengi.
 
Sio Coca Cola kwanza tu mkuu,week kadhaa zimepita maafisa wa Uhamiaji toka Mkoa wa Kibaha walitembelea Makao Makuu ya Lake Oil Kibaha,pale tulitoa taarifa kuwa kuna wageni wengi wasio na uhalali wa kufnya kazi Tz,sbb kazi wanazofanya ni za kawaida sana ambazo zinaweza kufanywa na wazawa..Lakini wale mabos wasio na vibali walijifungia chooni na wengine walijificha darini,jamaa wa Uhamiaji wakaondoka na kurudi siku ya tatu yake
Wakala mkwanja wao then wakasepa,tulipowauliza wakasema wao hawana mamlaka ya kuwaondoa sbb vibali vya kazi vinatolewa na Idara ya Kazi na si wao Uhamiaji hivyo ikifika hapo wao hawana meno.Mpaka sasa pale Lake Oil kuna wahindi wasio na uhalali wa kukaa,wanatembea usiku tu mtaani mchana wanajifungia kwenye ofisi na magodauni...Tembeleeni tena Lake Oil kusafisha hawa wageni wasio na uhalali wa kukaa nchini,Uhamiaji Mkoa wa Kibaha hawa jamaa huwa wanafichwa chooni mkija
Kumbe uhamiaji wamekula rushwa!!!!
 
Wafichueni mchana kweupe hata atakayetaka rushwa aone aibu. warudi makwao wote. Mwenye namba ya simu ya waziri kitwanga au katibu wa wizara ampe huyu jamaa ili majibu yatumbuliwe.
 
hapa ni nini hasa..wivu wa watu kulipwa laki sita ya chakula au?

hio ni kampuni binafsi arif
You must be out of your mind. Kwanini wasilipwe hiyo laki sita kwao?

Hamna nchi yoyote duniani inayowaachia wageni kuajiriwa kiholela kama unavyotaka kutuaminisha. Kama wwe ni mmoja wao, pack and go before..........
 
You must be out of your mind. Kwanini wasilipwe hiyo laki sita kwao? Hamna nchi yoyote duniani inayowaachia wageni kuajiriwa kiholela kama unavyotaka kutuaminisha. Kama wwe ni mmoja wao, pack and go before..........

mkuu hiyo ni kampuni binafsi.....haitumii kodi yako...ni mmiliki ameona bora alipe that much kwa sababu ya competence ya hao wafanyakazi...wewe endelea kupiga porojo

Ingelikuwa hata mwekezaji mwenyewe ni foreigner hapo sawa...lakini a local personnn.....nooo.maana yake watanzania tuko In competent
 
Naona huwajui wahindi wewe kwa wizi!

Kama kumbukumbu zangu ni sahihi Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hivi: Tofauti ya rushwa ya Tanzania na nchi za Asia (India ikiwemo bila shaka) ni kuwa aliyekula rushwa (kuhusiana na ujenzi wa barabara) Asia barabara itajengwa lakini kwa Tanzania barabara haitajengwa.
 
Ninavyofahamu mimi sheria ya uwekezaji inamtaka mwekezaji asiajiri wageni zaidi ya 5 lakini Coca wamezidi wapo 17!! ni ajabu sana said:
Hii Ya kuajiri more than 5 foreigners ni kweli?
 
Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana.

Tazama, mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ya Cocacola Kwanza ( Mikocheni ). Hapa kwetu Secretary wa mkurugenzi ( MD ) ni raia wa Somalia.

Operation manager ( Oloto ) ni Mkenya

Warehouse manager ( Otaigo ) ni Mkenya

Country Salle's and marketing ( Nalacka ) ni muhindi

Logistic manager ( Pankaj ) ni muhindi

Hapa kwetu yupo fundi gereji mzungu hata kiswahili tu hajui. ( Hivi nchi hii haina mafundi gereji bingwa hadi waje hawa wazungu?? )

Ndugu zangu, hawa niliowataja hapa juu ni wachache mno. Ukweli ni kwamba kuna wageni wengi sana hapa Cocacola. Mishahara wanayolipwa ndo balaa sasa. Kuna watu hapa Cocacola kwanza wanafahamika kama experts. Hawa ndo usiseme kabisa. Kwanza inasemekana wanalipwa kwa dollar. Tazama, hawa watu kila ijumaa wanapewa laki 6 kila mmoja ( pesa ya kutumia weak end). Nyumba, gari, mafuta, chakila matibabu nk wanalipiwa na kampuni. Na kwa kweli kazi wanazofanya hata hawa vijana wetu wa kitanzania wanaweza kabisa kuzifanya.

Juzi maafisa wa uhamiaji walifika hapa kazini. Lakini wageni wote walishtuana na kutoweka na wengine magari yao waliyaterekeza. Mwishowe maafisa hao wa uhamiaji wakaishia kuwakama vijana wadogo wadogo ambapo mmoja tunamfahamu ni mkenya. Ila wale vigogo walitoweka karibu wote. Sasa hivi hawa watu wanakuja kazini kwa kunusa tu yaani kwa kuchungulia.

Maafisa wa uhamiaji hebu njooni tena hapa Cocacola Kwanza ltd (mikocheni ) mje mfanye msako wa kina. Kuna wageni kibao hapa. Njooni jamani. Tena muanze na Oloto , Otaigo na Pankaj maana hawa watu wanajiona wadogo zake mungu mbele ya wazawa.

( Nchi hii itaendelea kweli kama tukiwazarau wazawa na kuwajari wageni? )
utawala wa sasa ni wakukurupuka na kushtukiza,labda zamu yenu itakuwa mwezi wa saba mwaka 2019
 
Bakhresa food products ltd(csd)
1.gm-south African
2.finance controllers-indian
3.production supervisors-kenyans
4.head plant cleaner-kenyan
5-epr officers & managers-kenyans and Indians
6.Boilers-philipines
7.electrical manager-indian
8.Cost controllers Kenyan
9.internal auditor-indian
10.Mis Manager-indian
Watanzania wenye degree,masters they are working as technicians,hakuna XENOPHOBIA,dharau tu hiI
bora hao wabongo wanaajira za kudumu huku kwa mengi sis ni vibarua na wapakiaji masanduku ya vyoda sehem zenye tija wahindi ndo wapo na wakenya
 
Back
Top Bottom