kokakola
Member
- Nov 25, 2015
- 30
- 17
Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana.
Tazama, mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ya Cocacola Kwanza ( Mikocheni ). Hapa kwetu Secretary wa mkurugenzi ( MD ) ni raia wa Somalia.
Operation manager ( Oloto ) ni Mkenya
Warehouse manager ( Otaigo ) ni Mkenya
Country Salle's and marketing ( Nalacka ) ni muhindi
Logistic manager ( Pankaj ) ni muhindi
Hapa kwetu yupo fundi gereji mzungu hata kiswahili tu hajui. ( Hivi nchi hii haina mafundi gereji bingwa hadi waje hawa wazungu?? )
Ndugu zangu, hawa niliowataja hapa juu ni wachache mno. Ukweli ni kwamba kuna wageni wengi sana hapa Cocacola. Mishahara wanayolipwa ndo balaa sasa. Kuna watu hapa Cocacola kwanza wanafahamika kama experts. Hawa ndo usiseme kabisa. Kwanza inasemekana wanalipwa kwa dollar. Tazama, hawa watu kila ijumaa wanapewa laki 6 kila mmoja ( pesa ya kutumia weak end). Nyumba, gari, mafuta, chakila matibabu nk wanalipiwa na kampuni. Na kwa kweli kazi wanazofanya hata hawa vijana wetu wa kitanzania wanaweza kabisa kuzifanya.
Juzi maafisa wa uhamiaji walifika hapa kazini. Lakini wageni wote walishtuana na kutoweka na wengine magari yao waliyaterekeza. Mwishowe maafisa hao wa uhamiaji wakaishia kuwakama vijana wadogo wadogo ambapo mmoja tunamfahamu ni mkenya. Ila wale vigogo walitoweka karibu wote. Sasa hivi hawa watu wanakuja kazini kwa kunusa tu yaani kwa kuchungulia.
Maafisa wa uhamiaji hebu njooni tena hapa Cocacola Kwanza ltd (mikocheni ) mje mfanye msako wa kina. Kuna wageni kibao hapa. Njooni jamani. Tena muanze na Oloto , Otaigo na Pankaj maana hawa watu wanajiona wadogo zake mungu mbele ya wazawa.
( Nchi hii itaendelea kweli kama tukiwazarau wazawa na kuwajari wageni? )