Kulingana na maoni ya wengi katika Uzi huu ni kwamba watanzania tunawafahamu waalifu walipo na hatuna ujasiri wa kushirikiana na taasisi zetu kuhakikisha wanakamatwa,
Nikichukua mfano wa Coca cola kwanza mikocheni na Lake oil Kibaha- yaonyesha watu wanajua maali waalifu walipojificha au wanapojificha lakini inapofika mahali pakushirikiana kuwafichua hatuna uthubutu.
Makampuni mengi ndani ya nchi yana HRs ambao ni Watanzania lakini watendaji wa serikali wanaporipoti kwao huwa wa kwanza kuyafumbia macho maovu.Kwa mtizamo wangu ni kwamba, watendaji wa serikali wana mipaka na si kila wakati wanaondoka sehemu kwa sababu ya rushwa bali wakati mwingine hukosa ushirikiano.
Pia suala LA vibali vya kufanya kazi lipo mikononi mwa labour na Uhamiaji wanachohusika nacho ni ukaazi.
(Residence and working permit are too different documents issued by two independent organization) Tukiwapa hawa mabwana ushirikiano lazima haki itatendeka,