Pole sana mdau kwa kadhia hii ya wageni, hili swala ni sugu na baya sana, mimi nimefanya kazi kwenye kiwanda cha sukari kagera, farm maneger kipindi hicho alikuwa msauz, alikuwa analipwa dola elfu arobaini na tano, sasa wakati tunakarabati kiwanda kampuni moja ya ALSTOM POWER, chini ya usimamizi wa wakala aitwaye BOSCH PROJECT, Walidai hawakupapata international certified steam special treated tubes welders in Tanzania, badala yake ana kazi zingine zote ikabidi wachukue technicians from INDIA, MOURITIUS, SOUTH AFTICA , SWAZLAND, MOZAMBIQUE, NA KENYA, KENYA WALIWATOA MUMIAS SUGER, SONY NA UGANDA WALITOA UGMA, KAKIIRA SUGAR, WANNE TOKA SUDANI. Watanzania lipewa wibarua tukawa tnalipwa 2000 kwa siku na tukawekewa clocking machine ukiingia unaingiza kadi inasoma mda wao walilipa mda unao fanya kazi tu saa zingine mfano mimi nilikuwa natunza vifaa na ninaishi kilomita kumi na sita toka kiwandani , natakiwa niwahi saa moja kamili kazi inakuwa imeanza, nilitumia baiskeli, kazi ikiisha saa moja jioni, so nikichelewa nakuta makofuli wameyakata na grenda na hiyo inakula kwangu, saa zingine ningeweza kuambulia patupu hela zote zimelipa makofuli, tuliitwa mahelper, niliposoma huyu bwana alicjoandika hapo juu nikaguswa kuwaonyesha jinsi mzawa asivo thaminiwa kwenye kazi za kitaalamu, nawaombeni mwenye uwezo wa kusoma techinical jobs za kuoperate mitambo, kama vile boillers, mills, na nyinginezo asome, tuondokane mtu unadai una degree na hauwezi hata kuonyesha kivitedo, mfano mainjinia wengi tu hawawezi kufabricate , to cut and weld, hata design nyingi za hawa vijana wa DIT zinatiliwa shaka sana, utakuta acuracy yake sio exactly the actual design iliyo kusudiwa, let us be more practical than theoretical, fulsa za viwandani zipo ila mafundi hampo, kule hawataki wasimamizi , wanahitaji wapiga nyundo, washika misumeno, wabebaji, material handlers , riggers, scalfodig preperaton techs nk, so wewe ukienda pale hujui kuchomelea unategemea nini? Wengi tunawaweka bench na wengi ni wazembe, story nyingi, ungo na forgery za over time, tujirudi kabla hatujawablame wageni, MNISAMEHE KWA KUWAKERA KIHIVI