Salute mkuu, hawa vijana wa dot.com sijui nani kawapa roho za kishetani, mtu yupo transit why uhangaike naye?na Hana illegal substances zozote why umsumbue?hii laana itaishi naye maisha yake yote, mpumbavu mkubwaNadhani huyo dogo wa immigration anasoma huu uzi na hii reply ni yake kama ifuatavyo...
Nasema "hii dunia ni moja, haya mataifa yametokana na dhambi zilizosababishwa na wewe, hiyo nafasi hapo uhamiaji ni cheo cha muda, hawa binadamu wapo na hawataisha, tunakuja na kuondoka, kesho anaota/birth mwingine as huyo kijana uliyesababisha akazaliwa nchi uliyotaka wewe"...
Kumbuka, ... "lolote unalomfanyia mwenzako hujirudi kwa njia nyingine na kukuadhibu ukiwa umesahau matendo uliyomfanyia mwenzako. Tabia kama hiyo ya kukomalia jambo ambalo kwa elimu ya darasani kwenye mambo ya uhamiaji sidhani kama uliwahi fundishwa kukomaa na mtu mwenye hujauzito"...
Na ... "baada ya tukio la kumsababishia hali ile ukakimbia ila nafsi yako najua inavyokusumbua na huna la kufanya although unajipa moyo ulikiwa kazini ukitekeleza wajibu, wajibu gani ambao unaona kabisa kuna hali ya hatari?."
Haya ni maisha mdogo wangu afisa uhamiaji na hizi ni nchi za Afrika Mashariki mnazojipambanua kuwa na ushirikiano wa jumuiya, mwisho "hata wewe unajiita kidume ukiwa mkoa nje ya Mara au nje ya Tanzania huwa unaparamia mabinti wa watu, siku unaondoka hujui kama ulipandikiza mbegu"
Asante.
Naunga mkono hojaNashauri huyo mtoto aliyezaliwa aitwe (BUTAKE ) yaani Burundi, Tanzania na Kenya
Umenikumbusha TAKEU ya Mr. Nice.Nashauri huyo mtoto aliyezaliwa aitwe (BUTAKE ) yaani Burundi, Tanzania na Kenya
Sijui una umri gani, watu wanahitaji majibu tupate ufumbuzi wa tatizo mwingine anakurupuka na ...........ro.Nashauri huyo mtoto aliyezaliwa aitwe (BUTAKE ) yaani Burundi, Tanzania na Kenya
Mkuu kwa heshima na taadhima naomba utaje hiyo ofisi, maana Sabaya keshakula 30 kwa unyang'anyi ili nao wapate fundisho.Kuna ofisi moja ya uhamiaji wakiwakamata watu wa namna hiyo (wasio raia) huwapiga sana na kuwanyang'anya fedha zao wanazokuwa wamezipata katika kufanya kazi aidha wakiwa wanarudi nchini kwao au wakiwa wameingia nchini kwetu katika utafutaji.
Sasa ninapofanyia kazi ni karibu na ofisi hiyo Sasa wakiwa wanawapiga wanatoa kilio cha uchungu sana utakuta mtu anapigwa zaidi ya masaa matatu roho yangu huwa inaugua sana kwa kusikia vilio vile.
Baada ya kuwapiga huwapora fedha zao na kuwaachia warudi nchini kwao huku hawana nauli wala hela ya chakula, uhamiaji fuateni taratibu zenu za kazi tafadhari
Imekuwa kadhia siku hizi eti nchini kwako ni lazima usafiri ukiwa na nyaraka zinazothibitisha wewe ni raia; tulisimamishwa Chalinze pale na hao makonstebo wakaomba kila mtu atoe kitambulisho cha taifa...ilikuwa fujo kwenye gari wengi hawana ufahamu kwamba ni lazima uwe na utambulisho safarini, sielewi kwanini hawajapeleka elimu kwanza kwenye jamii!!. Pole sana kwa huyo Mama; by birth kijana ni mtanzania sasa 👏😁
mkuu wewe ilikuwaje ukasafiri na huyo mama, ukaenda kuona anavyozaa na kutelekezwa na pia unaona anavyonyanyasika wodini?Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022.Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli(Barrier) .Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito ,asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.
Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule.Alishikiliwa mpaka akapata labour pain(Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .
Mama hakuwa na chochote hata nguo hana ,kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.
Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k
Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia.Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie.Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.
"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"???
clinician Mimi nilikuwa nasafiri nikitokea Mwanza kwenda TARIME alivyosushwa kwenye gari abilia tulipatwa hasira zilizo changanyika na huruma.mkuu wewe ilikuwaje ukasafiri na huyo mama,ukaenda kuona anavyozaa na kutelekezwa na pia unaona anavyonyanyasika wodini?
Mimi naona uhamiaji inalaumiwa bure. Je, huyo mama alikuwa na passport ya Africa Mashariki akakataliwa kuendelea na safari?Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022.Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli(Barrier) .Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito ,asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.
Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule.Alishikiliwa mpaka akapata labour pain(Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .
Mama hakuwa na chochote hata nguo hana ,kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.
Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k
Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia.Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie.Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.
"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"???
Ukisika uongo ndiyo huu. Nafikiri wewe ni CHADEMA.Kuna ofisi moja ya uhamiaji wakiwakamata watu wa namna hiyo (wasio raia) huwapiga sana na kuwanyang'anya fedha zao wanazokuwa wamezipata katika kufanya kazi aidha wakiwa wanarudi nchini kwao au wakiwa wameingia nchini kwetu katika utafutaji.
Sasa ninapofanyia kazi ni karibu na ofisi hiyo Sasa wakiwa wanawapiga wanatoa kilio cha uchungu sana utakuta mtu anapigwa zaidi ya masaa matatu roho yangu huwa inaugua sana kwa kusikia vilio vile.
Baada ya kuwapiga huwapora fedha zao na kuwaachia warudi nchini kwao huku hawana nauli wala hela ya chakula, uhamiaji fuateni taratibu zenu za kazi tafadhari
Kenya angekufa! Hamna huruma huko.Mh kheri amejifungulia hapa Tz, ktk.ile.nchi ya kenywa sizani kama angeambulia kitu