Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Mambo yamebadilika, jifunze kuosha miguu na kujipaka rangi mwenyewe labda kama unakitambi ambacho kinakuzuia kuinama [emoji28][emoji28][emoji28]sijui watu washarudi kijijini zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.
sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie
kweli hali ngumu.