Uhaba wa vijana watengeneza kucha

sijui watu washarudi kijijini zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.
sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie
kweli hali ngumu.

Upo mji gani Mkuu, yawezekana wamehamia mji ambako biashara hiyo ina wateja wengi
 
inabidi nijioshee tu mguu wangu mwenyewe .yani zamani walikuwa wanatufata hadi home wewe tu hata ukiamua kumpeleka room
Dah miss! Yaani mtu umpeleke room kwako kukusafishia kucha!
Post zako me huziona kama fun, sizipiti bila kuzisoma.
Tatizo jf kila mmoja ana mbingu yake. Hamuwezi kukutana na kumu-admire mtu unayevutiwa na vituko vyake.
Kiukweli na mtaalamu wa kuhamisha stress.
 
sijui watu washarudi kijijini zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.
sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie
kweli hali ngumu.
Mm hiyo ndio kaz yangu sema uko wap nije nikupe Huduma kwa bei nafuu,,,kama uko serious pm plz
 
Hao ndio wanawake wa kisasa. Hawawezi kuosha hata miguu yao wakiamini kuwa wanapooshwa na wanaume hutakata zaidi. Shame.
 
Bush watu wanafanyiwa na nani massage?

Babati,

Bush watu wanafanyiwa sana zaidi ya town, kama hujui hilo, ulizia wanaochunga ng'ombe , wanaookota kuni porini na wakati wa kuandaa mashamba.

Niliona kitu ambacho sitakaa nisahau maishani mwangu weeeee achaa
 
Nasikia hao vijana wanatumikishwa kingono balaa!!!
Wamama wenye fedha huwachukua na kuwapangishia nyumba ili wakidhi hitaji lao la kimwili yaani ngono
Ukiona wameadimika maana yake ni kwamba mahitaji yamekuwa makubwa kuliko wingi wao
Poleni sana vijana wangu najua huko mlipo mnalamba K za wanawake ambao wengi wao ni kama mama zenu
Mnawanyonya makalio, mnalishwa mpaka kisamvu cha kopo
Wengi wao wameshakufa au wanaumwa maradhi yasiyotibika kwa kutumikishwa kingono
Umasikini ni kitu kibaya sana
Poleni sana vijana
 
Dah miss! Yaani mtu umpeleke room kwako kukusafishia kucha!
Post zako me huziona kama fun, sizipiti bila kuzisoma.
Tatizo jf kila mmoja ana mbingu yake. Hamuwezi kukutana na kumu-admire mtu unayevutiwa na vituko vyake.
Kiukweli na mtaalamu wa kuhamisha stress.
si unajua mabafu yapo chumbani nyumba ni self sasa utaogeshwa nje? msiwaze ngono jamani
 
Back
Top Bottom