Vijana watengeneza kucha wanatembea na wake za watu balaa!

Vijana watengeneza kucha wanatembea na wake za watu balaa!

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
354
Reaction score
494
Wabandika kucha wanafaidi wake za watu jamani. Juzi nilipita mitaa fulani hivi karibu na soko nikaona hii business ikiendelea huwezi amini. Kwanza Katika harakati za kuusafisha ule mguu, pale ndio wanapojichukuliaga point. Kama anakuambia mimi nina mtu wangu wa kucha (kama wasemavyo nina boda boda wangu) jua hapa ndio alipojichukulia point.

Yaani kwanza siku ya kwenda kubandika hizo kucha huwa wanavaaga sketi fupi kumrahisishia mhudumu. Ila wale jamaa nao anaposafisha huo mguu huwaga wanapanda sana hadi usawa wa mapajani, wakati huo angalia anayehudumiwa anavyojilegeza utadhani ni sehemu ya kufanyia massage.

Wakati huo mhudumu yupo kwenye position ambayo anaweza zoom hadi vilivyofichika. Sasa hivi pale hawapandishani hisia kweli? Hivi kimaadili imekaaje hii, na unakuta mke kasindikizwa na mume wake kabisa au yupo accompanied na mtoto wa kiume [emoji23].
 
Sababu ya hao wanawake kuoshwa miguu badala ya wao kujiosha miguu yao wao wenyewe ni ipi hasa?
 
Umenikumbusha tukio Moja Kuna Hawa jamaa wauza urembo katika harakt zake aliingia nyumba Moja(geti Kali) mbez beach baada ya kuitwa na beki tatu wa Ile nyumba ili achague urembo, Kwa mda huo wenye nyumba walikuwa wameingia kazin(boss zake huyu beki tatu). Yule beki tatu naona alibaki pke yke.

Sasa jamaa wa urembo naona alichombeza vimaneno viwili vitatu beki tatu nae naona cjui upwiru ulimbana si unajua kufungiwa ndani tena wakaingia cjui bafuni jamaa akaaza kichakata mbususu😋

Bahat mbaya baba mwenye Ile nyumba(boss) aliludi home I think for emergency hivo hakujisumbua kupga horn ili afunguliwe geti,,but alitumia funguo yke kuingilia geti dogo, kuingia tu anakutana na mzigo wa urembo upo pembeni jamaa mwenye mzigo hamuoni.
but nzuri nao walisikia wakat baba mwenye nyumba(boss) anafungua geti but hawakuwa na namna coz jamaa alijichanganya mzigo kuacha nje boss akamwita beki tatu,
anashangaa anatokea bafu la nje anaulizwa jmaa mwenye ule mzigo anasema hajui. Boss akamwambia beki tatu leta kiberiti kusikia vile jamaa mwenye urembo akaja mbio.
Boss hakutaka maongez mengi alimshushia kipigo yule jamaa akauchoma na mnzigo wa urembo mbele yke kama masihala na kipigo juu. Jamaa mtaji ulikata huku anauona kisa mbususu ya beki tatu.(source mhanga wa tukio 2020) KWELI PENZI KITOVU CHA UZEMBE.
 
Kama madaktari tu..
ile ni sehemu ya kazi.
mood mode ni kazini

daktari hata akiona papuchi nzuri kama kibama.. anaeza aka appreciate uzuri wake ila siyo kutamani kufikia hatua ya kudindisha
labda kama sio mwanaume kamili...wewe uktane na mbususu imetuna alafu vuzi kwa mbali nyoooo lazima utamani
 
Ka wivu Kwa mbaali...
Kesho Utasikia boda boda...

Baadae Utasikia wamiliki wa bar

Utakuja tena kusikia madaktari ....

In reality kila fani kuna mtu anawala wanawake balaa....hata wasio na kazi nao wapo......

Labda wachimba makaburi ndo sijasikia wakilaumiwa Kwa wake za watu .
 
Kama ni wa kuliwa wataliwa na yoyote, ni tabia tu sioni mahusiano na hiyo kazi.
 
Sasa ukiona madaktari wanaohudumia mambo ya uzazi wa kina mama ndo utachoka. Mwanamke mtu mzima akitaka kutembea na mtu anatembea nae tu, achaneni na hizi hofu za kugongewa, mnakosa mengi.
 
Back
Top Bottom