Uhaba wa vijana watengeneza kucha

Uhaba wa vijana watengeneza kucha

Maisha yamekuwa magumu na wao wanasoma upepo wamehamia kwenye kazi nyingine kwanza Mara nyingi huwa hamuwalipi hela mnawalaghai mnawashika shika videvu na kuwarembulia tu wadada wengi wanaopenda urembo mnapenda mseleleko kwa nn?
 
sijui watu washarudi kijijini zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.
sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie
kweli hali ngumu.

Au demand imezidi supply?
 
Maisha yamekuwa magumu na wao wanasoma upepo wamehamia kwenye kazi nyingine kwanza Mara nyingi huwa hamuwalipi hela mnawalaghai mnawashika shika videvu na kuwarembulia tu wadada wengi wanaopenda urembo mnapenda mseleleko kwa nn?
ahahaaa kama wa bajaji .wengi hawalipwi hata
 
sijui watu washarudi kijijini zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.
sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie
kweli hali ngumu.

hili kabila la waosha kucha sijui wapaka rangi sitaki hata kulisikia,nilishalipiga marufuku nyumbani kwangu hata kabla sijaoa
 
Kwa nn lakini mnakuwa hamna huruma eti alafu hata papuchi yenyewe bora mñgekuwa mnawapa bc wajipozee
acha tu siku moja bwana nilikuwa na shosti wangu wa mbali tukachukua bajaji toka kunduchi,tukaenda kinondoni ,tukarudi mikocheni misele yote hyo hakupewa hata mia hadi niliona aibu.lidada la kikenya hadi siku hizi sipendi kutoka nae maana anakuita kumbe hana hata mia
 
Tatizo wanawazoea vibaya ingekuwa ni dereva isingemuacha salama hata mapaja angeyatanua tu maana wale mabwana kwa kuforce hadi ma star wanagegedwa sembuse huyo mkenya
 
Umemiss? Itafikia hatua wataosha na p.a.p.u.c.h.i!! Ndo itakapokuwa kilio na kusaga meno
 
Miss Natafuta,

Unataka kitu kama hiki hapa huko chumbani kwako eeeeh !?
Teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh Haaa haaa Haaa haaa Haaa.
 
Attachments

  • 332256.jpg
    332256.jpg
    5.7 KB · Views: 35
Mwezi mtukufu

Acha upoyoyo na porojo rukuki za kitumwa.

Miezi na siku zote ni tukufu.

Pumba.fu sana weye, ndiyo ninyi mnaacha uovu siku za mwezi mmoja baada ya hapo mnaanza kufanya maovu ya kila aina baada ya huo mwezi mtukufu.
 
Back
Top Bottom