Nayo pia hutumika saana na si mifupa tu bali hata mafuta nyama na kinyesi chake wenyeji wa mwambao huvitumia sana hivi vitu kujikinga na majinini utafiti umeufanya mkuu au!!vipi kuhusu mifupa ya nguruwe!!nimesikia kama utaweka mifupa ya nguruwe ndani kwako au kama unakula nguruwe mchawi hawezi kukufuata wala kukukaribia!Msaada hapo Mshana Jr
hio ni juu ya Mungu kuhukumu, ninachoamini ni kile anachohubiri, tabia yake na matendo yake havinihusu.Kwa akili wako unadhani kwamba kila anayejiita mtumishi wa Mungu anatenda miujiza kwa nguvu ya Mungu?
ushirikina huu, haiwezekani mtu mwenye imani akalala na mikaa sindano ndimu mifupa na mavi ya nguruwe, kwanza hii kitu haiapply kwa watu wa dini zote sababu muislamu hawezi kulala na mfupa wa nguruwe, na mkristo ana Mungu ndani yake, mi naona hii ni tiba yako wewe na wasiomuamini Mungu. USHIRIKINA MTUPU.Nayo pia hutumika saana na si mifupa tu bali hata mafuta nyama na kinyesi chake wenyeji wa mwambao huvitumia sana hivi vitu kujikinga na majini
we jamaa unaJiwehusha ila una BUSARA.Basi kufikia hapa itakuwa ngumu kuendelea na mjadala
Kuanzia leo nalala nazo mkuu
Sidhani kama kila kitu ni ushirikina...Bwana Yesu alitumia chumvi kutakasa na chumvi mpaka leo inatumika huo sio ushirikinaushirikina huu, haiwezekani mtu mwenye imani akalala na mikaa sindano ndimu mifupa na mavi ya nguruwe, kwanza hii kitu haiapply kwa watu wa dini zote sababu muislamu hawezi kulala na mfupa wa nguruwe, na mkristo ana Mungu ndani yake, mi naona hii ni tiba yako wewe na wasiomuamini Mungu. USHIRIKINA MTUPU.
Vitu vinginevyo mmepewa akili, kila kitu yesu, hadi maleria mtasema yesu sasa,...ukilala kwa jina la Yesu inakuwaje..!!? hahahahaaa, kuna ile kitu ya kutawanyika kwa njia saba, as the bible says...
...tutafanyaje sasa, ndo jina pekee tulilopewa na kimbilio letu dhidi ya wanga na wachawi. nyie mkitaja ndimu na malimao ulitegemea na sisi tukae tunashangilia mbinu zenu za kichawii..? na sisi tunataja kinachotulinda, shida iko wapi..? au ulishawahi kukutana na moto wa Jina la YESU...Vitu vinginevyo mmepewa akili, kila kitu yesu, hadi maleria mtasema yesu sasa,
Jamani kwa nini mnapenda porojo za ajabu ajabu.Hata mimi nilidhani hivyo lakini nimeelewa sasa,Mkuu Mshana amepatia kabisa ,NDIMU sio mchezo sababu sisi kwetu wote tuliwekewa ndimu chini ya mto wakati tumezaliwa mpaka tunakua,na mauzauza sijui ndoto mbaya zoote kwishney marabuku.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji144] [emoji144]...tutafanyaje sasa, ndo jina pekee tulilopewa na kimbilio letu dhidi ya wanga na wachawi. nyie mkitaja ndimu na malimao ulitegemea na sisi tukae tunashangilia mbinu zenu za kichawii..? na sisi tunataja kinachotulinda, shida iko wapi..? au ulishawahi kukutana na moto wa Jina la YESU...
Haivunji ila inafreeze kama kuna usumbufu ulikuwa unapata unakoma ila Inategemea ni uchawi wenye nguvu kiasi ganiMshana hivi kama kuna kitu chako unahisi kimefanyiwa uchawi, mfano nyumba au shamba ukiweka ndimu huko ndani itavunja nguvu za giza zilizofanyika huko ndani?!
Chini ya mto asione