Jamani, mbona mnataka kuuana hivyo kwa kumwambia mwenzako akafanyiwe operation? Hilo sio tatizo bwana mkubwa, kuna vidonge vyake fulani unakua unadumbukiza huko 'down' mbona kitaisha tuu. Mimi kuna jamaa yangu mmoja aliamua kukikata hiko kinyama kwa operation chupu chupu tuzike... so kwa ushauri wangu wa bure nenda hospitalini then watakupa dawa, kama kuna Dr atakwambia ni swala la operation then muulize an alternative means ya tiba, huwa zipo. Jaribu kufukiri joto na kutumia hiyo sehem kwa haja kubwa, ukikatwa huko utapona leo?
Wengine huwa wanakisumia ndani
ukienda hospitalini kinaondolewa kwa operation ndogo. nimeona watu wawili wamefanyiwa bila matatizo yoyote. gharama sikumbuki
Uko sahihi upasuaji ndio tiba sahihi, hizo dawa ukitumia lazima baada ya muda vinarudi. Rafiki yangu mmoja alisumbuliwa sana na huu ugonjwa kwa lugha ya kiswahili vinaitwa Bawasir
Niliisha andika kwenye post ya pili......nipe thanks tafadhali
Dear, JF Doctor+ wadau.
Tafadhali ninaomba ushauri wenu (samahani kama lugha itakuwa kali kidogo). Nina kinyama kidogo kimeota sehemu ya matakoni pembeni mwa njia ya haja kubwa kuanzia nikiwa form three. Nilijaribu kuuliza siku za nyuma nikaambiwa inasababishwa na choo kuwa kikavu (kutokunywa maji) hivyo nikaanza kunywa maji kwa wingi.
Sasa naomba kujua kama kuna namna yeyote au dawa ya kukiondoa maana kinanikosesha raha sana.
Asanteni.
Uko sahihi upasuaji ndio tiba sahihi, hizo dawa ukitumia lazima baada ya muda vinarudi. Rafiki yangu mmoja alisumbuliwa sana na huu ugonjwa kwa lugha ya kiswahili vinaitwa Bawasir
Surgical operation! ni suluhisho
Jamani, mbona mnataka kuuana hivyo kwa kumwambia mwenzako akafanyiwe operation? Hilo sio tatizo bwana mkubwa, kuna vidonge vyake fulani unakua unadumbukiza huko 'down' mbona kitaisha tuu. Mimi kuna jamaa yangu mmoja aliamua kukikata hiko kinyama kwa operation chupu chupu tuzike... so kwa ushauri wangu wa bure nenda hospitalini then watakupa dawa, kama kuna Dr atakwambia ni swala la operation then muulize an alternative means ya tiba, huwa zipo. Jaribu kufukiri joto na kutumia hiyo sehem kwa haja kubwa, ukikatwa huko utapona leo?
Nyote hakuna aliye sahihi, huyu anasumbuliwa na kitu kinachoitwa haemorrhoidal, kinatokana na kula vyakula vilivyokobolewa, na kutokula vyakula vyenye nyuzi nyuzi na mboga za majani, anatakiwa kula vyakula hivyo na kumeza dawa inayoitwa duclolax (bisacodly)Acha kumtisha mwenzako! Operation ni moja wapo ya tiba sahihi kabisa na salama. Nani kakwambia tiba ya upasuaji ni sawa na kuandikiwa hukumu ya kifo?? acha woga wa ajabu
kuna jamaa mmoja anaitwa dokta isaac ndodi huwa ni mtaalam wa tiba mbadala(sio za kienyeji) anaweza kukusaidia na ukishindwa ndo uende for operation
Nyote hakuna aliye sahihi, huyu anasumbuliwa na kitu kinachoitwa haemorrhoidal, kinatokana na kula vyakula vilivyokobolewa, na kutokula vyakula vyenye nyuzi nyuzi na mboga za majani, anatakiwa kula vyakula hivyo na kumeza dawa inayoitwa duclolax (bisacodly)
Kaitaba: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari bingwa sasa!
Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram.
Rweyongeza: aa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa!
Kaitaba: mmmm
(BAADA YA Kaitaba kuondoka )
Muchunguzi: Eee Rweyongeza, nirishindwa kukuuriza mbere ya Kaitaba, sasa kama Gozbert anahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa, yeye ni nani?
Rweyongeza: Aaa unajua Ka Gozbert hakakusoma hivyo kanachimba makaburi!
Wahaya bwana! Dr Kaitaba umeishatoa diagnosis hata mgonjwa hujamuona!
Hebu ona Mhaya Mwingine hapa