Jaribu kuchemsha inaweza kukusaidia inshallah charmingladyTangawizi na jira; Saga viwe unga, tumia
kijiko kimoja katika glasi moja la maji
x2 kutwa. Pia tatizo la kuhara damu na
la Amoeba tumia hiyo hiyo..
Mkuu Mzizi mkavu... Je nikitumia tiba hii kwa kuichemsha haitatibu??
Jaribu kuchemsha inaweza kukusaidia inshallah charminglady
Aloe vera; tumia dozi hiyo mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 3. chemsha uwe unakunywa kutwa mara 2 kipimo cha dawa glasi moja asubuhi na glasi moja usiku.@AsnamMziziMkavu tiba ya aloe vera ni glass ngapi maana umeweka kutwa mara mbili tu bila ufafanuzi wa kina:rolleyez::rolleyez:
HOMA YA MATUMBO (Typhoid fever)
Ni ugonjwa unaoenezwa na bacteria jamii ya salmonella. Huenezwa kupitia maji yasiyo salama,chakula na kupitia mtu mwenye vjidudu hivyo bila dalili.
DALILI: Awali ni kama za malaria. Kujisikia joto linalopanda hadi kufikia 103-105F (39-40¬¬¬¬C), maumivu
ya kichwa,misuri, na kukosa hamu ya kula. Baada ya juma kama mbili hivi kuharisha kwaweza kuanza. Kama
matibabu hayatatolewa mgonjwa atazidi kuathilika hatimaye kifo.
TIBA ZAKE: Chagua Dawa mojawapo kwako wewe itakuwa ni Rahisi kuitumia na kuipata.
- Miche ifwatayo itumike kumpa enema mgonjwa au kumpampu kwa njia ya bomba la sindano. Wakia mbili au cc 50-60 za dawa majani ya Red respbarry, magome ya White ork, au Magome ya mninga au Wild alum mizizi.
- Songwa, ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa.
Dozi hiyo ni kwa siku 10 hadi 14. Dozi: Wazima kikombe 1 cha chai kutwa mara tatu kwa siku 714 kutegemea na ugonjwa. Vijana zaidi ya miaka 12 nusu kikombe cha chai kutwa mara tatu. Miaka 6-12 robo kikombe kutwa mara tatu Miaka 2-5Kijiko kikubwa mara tatu kutwa.- Msongwa; mti mkubwa wenye kutoa matunda yenye uchachu. Chemusha magome yake au yasage uwe unga.
Dozi; Gome la ukubwa kiganja lichemshwe katika maji bilauri 6 kwa dakika 10, kisha kunywa vipimo kama namba mbili hapo juu.- Aloe vera; tumia dozi hiyo mara mbili. chemsha uwe unakunywa kutwa mara 2.
- Tangawizi na jira; Saga viwe unga, tumia kijiko kimoja katika glasi moja la maji x2 kutwa. Pia tatizo la kuhara damu na la Amoeba tumia hiyo hiyo..
- Sogoya:, nao ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa. Dozi hiyo ni kwa siku 10 hadi 14.
Aloe Vera Mshubiri
Mkuu MziziMkavu asante sana kwa kutupatia elimu hii. Sasa naomba kukuuliza, huku town huwa kuna wale jamaa wanaotembeza Miche (majani)ya Aloe vera ambayo imeshang'olewa toka shamba huenda ikawa na siku mbili au tatu tangu ing'olewe.
1. Je hiyo itakuwa salama kwa matumizi yaan haitakuwa imeishiwa ubora wake??
2. Je naweza kuichemsha na kuihifadhi katima jokofu kwa matumizi ya juma zima?
Unapatikana wapi?
I have a relative with Chronic Typhoid and I would like to give it a trial!
Does it mean I have to pay first ?